Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahuni sasahivi wanamlaani sana yule mlenga SHABAHA🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗Balaa lote hili lilianzia hapa
View attachment 3226353
Aisee sijaona chuki na psychological torture kama yako ulikouwa unapitia kipindi chote hiki. Kwani wanaotembelea DFP na wanaolipwa dola ni hao tu wanaofanya kazi ambao directly wamekuwa affected na significations za Trump tangia aingie madarakani?Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Noma sanawahuni sasahivi wanamlaani sana yule mlenga SHABAHA🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗
📌📌📌NDO KWANZA TRUMPET MZEE WA KAZI ANA SIKU 15 MJENGONI.NGOMA BADO MBICHI SANA!!!
Uko ndo atapona maana Atarudi kulia lia hapa kutafuta mmeUzuri hata mapromota wa huo ujinga wamepigwa spana na babu sasa kama mnaweza kimbilieni kwa tuvijana twa ulaya ambao hata akili hawana zaidi ya kupewa akili na babu yao waliyokuwa hawampendi na kumkunia kunguni kwa kipindi fulani ila sasa waliyekuwa hawampendi karudi fullswing.
Aisee...Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
mkuu salaam, leo kipole.Schadenfreude.
blessingsUnafikiri ni wewe mwenyewe ulikuwa unaomba kazi?
Ni kama ya serikali, Yanafanya kazi zilizotakiwa kufanywa na serikaliILA hayo magari ya DFP utafikiri yana hati miliki ya barabara; yaani hayajui 50, wala nini sawa na ya walamba Asali...
Sio kila kazi kila mtu anaweza kufanya kwenye mashirika, na ni sehemu zote sio lazima mashirikq. Inategemea na eneo ulibobea au kusomea. mfano, umesoma sociology halafu wanatafuta BI Solutions Manager. Hiyo kazi utafanyaje?Kazi gani unajua niliomba kuna Kazi ambayo mtu hawezi kufanya katika hayo mashirika ?
Le General trumpNauliza kiko wapi
Hii comment yako naipiga na lamination, mwanangu sijui hawa Watu baadhi wanashida gani maana kaahWewe nae acha nongwa.
Wanawake ndivyo walivyo akikupa connection nenda kwenye KABURI la babu yako ukatambike hao viumbe ni nature yao kuwa wabinafsi.Connection zao huwq lazima uwe na nyota ndo zikudondokee.
Kwa behaviour kama hizi utasota sana mtaani, sababu shida ni wewe. Watu wa NGO wengi wanaajirika watapata kwenye NGO nyingine wewe utaendelea kusota mtaani.Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi