Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

Cheap is expensive; Ndo maana Kuna vyakula vya:

1. 1,000
2. 10,000
3.100,0000
---------

Umewahi kujiuliza kwa Nini chakula Cha 1000 na Cha 2000 vyote vinashibisha? Maswali ya kipumbavu.....
 
1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza
2. Hawajatongozwa muda mrefu
3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela
5. Wanaogopa kukupoteza

Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
3
 
mkizungushwa mnalalamika, mkikataliwa mnaongea haya mmeanza kukubaliwa first day ya mtongozo still mnaongea,, what do you want exactly
We want to enter into a big dish immediately...

That is what we want exactly!
 
1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza
2. Hawajatongozwa muda mrefu
3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela
5. Wanaogopa kukupoteza

Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
Mkikubaliwa haraka shida mkibaniwa shida.. Mnataka nini lakini...🤣
 
Back
Top Bottom