kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa.
Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up.
Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo;
1.UTI.
2.KWASWENDE.
3.HIV HAPA APIME VIPIMO VYOTE VIWILI NAMBA MOJA NA MBILI.
4.HOMA YA INI.
MAJIBU yakija fresh katika hivyo vipimo vinne,mpe mtoto lunch au dinner moja matata,kisha kaichape mpaka usikie harufu ya mishkaki.Piga mpaka baada ya shoo mtoto wa watu alale fofofo😄😄😄.Baada ya hapo atakuwa anakutafuta mwenyewe!!!
📌📌📌Na kila demu kabla hujamla mwendo ni kupima kwanza,ukitaka kula na usiwe na mawazo baada ya kuichapa hakikisha unampima kila demu unayetaka kumkula nyama kwa nyama,akigoma ujuwe amewaka huyo,mshukuru sana kwa kukataa kwake kukuunga GRID YA TAIFA, pita kulia apite kushoto!!!!
📌Ukimaliza njoo unipe shukrani zangu fala wewe,unaumiza kichwa mambo madogo kama hayo!!!