NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Yap,ndo icho mlichabakiza Chadema kutafuta vijimambo na matukio kuyafanya ajenda muongee muonekani na nyinyi mpo.Chato kua jiji mtasubiri mpka jesca apate kitukuu,kudadadeki mama samia fundi mnaleta vigezo vya kipumbavu tu...ingefika mahali akataka mama yake aitwe malkia wa chato
Fundi Lisu amefikaje kwenye uganga njaa wako.Tundu Lisu njaa kali!
Majungu ndio mtaji wake!Fundi Lisu amefikaje kwenye uganga njaa wako.
Sasa majungu yake wewe yanakuhusu nini mganga njaaMajungu ndio mtaji wake!
Yanamfanya agange njaa!Sasa majungu yake wewe yanakuhusu nini mganga njaa
Sasa njaa yake yeye, wewe inakusumbua nini mganga njaaYanamfanya agange njaa!
Kuna la kuuliza hapo bwashee!!Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP Magufuli!
Rais mpya alisema nyie wavulana wa Lumumba,muache kumpelekea umbeaKuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP Magufuli!
Huu ndio ukweli na CCM wao kwa wao wanamalizana sababu kuna accounts zinasonyana na wote ni CCM tatizo kina CCM ya Msoga na CCM Chato the kuna Ile CCM monduli ambayo bado inataka kurudi ila bahati mbaya mbogo wao amejeruhiwa mno na hata network ya mama bado haisomi sababu Msoga line ndio inakamata na wanaamini sasa wataweza kuwa na sauti. Ukiangalia kigogo anasemwa ndio kundi la hao na yule Veronica France ndio mtetezi wa Chato line hapo sasa chadema wanaingiaje???????? Hawa wameanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe alijisemea mzee Nyerere Hayati kwamba ukianza kula nyama ya mtu huachi utakula mpaka mwanao. Ni kwamba kuku keshakula mayai yake, pambaneni chadema wanawasubiri kwenye ulingo maana malaika kashasepa kawaacha bumbuwazi. Uzuri wake aliingia akafanya yake chama alikiweka pembeni hapa mnataka kutumia mtaji wake ila mnaona pagumu simply kuna groups.Usiwasingizie CHADEMA
Hayo yanasemwa na wana CCM wenyewe
Na leo wana CCM wanasema kwamba aliyoyasema JK angeliyasema pindi JPM akiwa hai, au BWM
Kiongozi pekee anayejulikana kwa kuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa JPM ni mzee Mwinyi
Mzee Mwinyi hakusubiri JPM afe ndo amu-acknolodge
Kila alipopata nafasi alikuwa muwazi kusema mwenzetu anafanya mambo yaliyo tushinda wote tuliopita
Mbona naye alikuwa fundi wa kutengeneza uongo huo huo ukiachia mbali kuridhia ufisadi na miradi michafu kama ule wa Bwagamoyo ambao Magufuli alisema hata mwendawazimu asingeusaini.Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP Magufuli!
Wanahangaika sana aisee!!MATAGA kwa sasa wanakuwa kama kuku anayetaka kutaga
Genge la MUSIBA!!Waganga njaa wanaishi Lumumba
Kwani aliambiwa nani kujimwambafaiUsiwasingizie CHADEMA
Hayo yanasemwa na wana CCM wenyewe
Na leo wana CCM wanasema kwamba aliyoyasema JK angeliyasema pindi JPM akiwa hai, au BWM
Kiongozi pekee anayejulikana kwa kuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa JPM ni mzee Mwinyi
Mzee Mwinyi hakusubiri JPM afe ndo amu-acknolodge
Kila alipopata nafasi alikuwa muwazi kusema mwenzetu anafanya mambo yaliyo tushinda wote tuliopita
Itakua yangaKuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP Magufuli!
Wanajiuliza watawezaje kuishi mjini bila kuuza maneno ya fitina ili kujipatia ridhiki yao kama walivyo zoea.Wanahangaika sana aisee!!
Wako ndani ya CCM.Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP Magufuli!
Kwanini wasiwe CCM wenyewe maana Wanagombania MadarakaKuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo