Hawa Waganga Njaa wanaoishi kwa majungu aliowasema Kikwete siyo Chadema kweli?

Chato kua jiji mtasubiri mpka jesca apate kitukuu,kudadadeki mama samia fundi mnaleta vigezo vya kipumbavu tu...ingefika mahali akataka mama yake aitwe malkia wa chato
Yap,ndo icho mlichabakiza Chadema kutafuta vijimambo na matukio kuyafanya ajenda muongee muonekani na nyinyi mpo.
Hiili na lenyewe nendeni nalo mtaongeza wabunge 2025 pia mtachukua nchi.
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Kuna la kuuliza hapo bwashee!!
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Rais mpya alisema nyie wavulana wa Lumumba,muache kumpelekea umbea
 
Kule Facebook kuna account inaitwa Veronica France kwa siku hizi za Msiba imemshambulia sana Jakaya na akina Nape January Ridhiwan na akina Makamba Senior na Kinana.Na kwa mwandiko wa Akaunti ile yule mtu yupo ndani ya CCM,hao ndo wanaitwa Waganga njaa wazee wa majungu
 
Usiwasingizie CHADEMA

Hayo yanasemwa na wana CCM wenyewe

Na leo wana CCM wanasema kwamba aliyoyasema JK angeliyasema pindi JPM akiwa hai, au BWM

Kiongozi pekee anayejulikana kwa kuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa JPM ni mzee Mwinyi

Mzee Mwinyi hakusubiri JPM afe ndo amu-acknolodge

Kila alipopata nafasi alikuwa muwazi kusema mwenzetu anafanya mambo yaliyo tushinda wote tuliopita
Huu ndio ukweli na CCM wao kwa wao wanamalizana sababu kuna accounts zinasonyana na wote ni CCM tatizo kina CCM ya Msoga na CCM Chato the kuna Ile CCM monduli ambayo bado inataka kurudi ila bahati mbaya mbogo wao amejeruhiwa mno na hata network ya mama bado haisomi sababu Msoga line ndio inakamata na wanaamini sasa wataweza kuwa na sauti. Ukiangalia kigogo anasemwa ndio kundi la hao na yule Veronica France ndio mtetezi wa Chato line hapo sasa chadema wanaingiaje???????? Hawa wameanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe alijisemea mzee Nyerere Hayati kwamba ukianza kula nyama ya mtu huachi utakula mpaka mwanao. Ni kwamba kuku keshakula mayai yake, pambaneni chadema wanawasubiri kwenye ulingo maana malaika kashasepa kawaacha bumbuwazi. Uzuri wake aliingia akafanya yake chama alikiweka pembeni hapa mnataka kutumia mtaji wake ila mnaona pagumu simply kuna groups.
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Mbona naye alikuwa fundi wa kutengeneza uongo huo huo ukiachia mbali kuridhia ufisadi na miradi michafu kama ule wa Bwagamoyo ambao Magufuli alisema hata mwendawazimu asingeusaini.
 
Usiwasingizie CHADEMA

Hayo yanasemwa na wana CCM wenyewe

Na leo wana CCM wanasema kwamba aliyoyasema JK angeliyasema pindi JPM akiwa hai, au BWM

Kiongozi pekee anayejulikana kwa kuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa JPM ni mzee Mwinyi

Mzee Mwinyi hakusubiri JPM afe ndo amu-acknolodge

Kila alipopata nafasi alikuwa muwazi kusema mwenzetu anafanya mambo yaliyo tushinda wote tuliopita
Kwani aliambiwa nani kujimwambafai
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Itakua yanga
 
Wako ndani ya CCM.
Matukio mawili, Kikwete aliwahi sema jatika vikao mtu hadhubutu kuacha glasi yake ya maji akitoka kidogo.
Pili,mzee Mangula alipewa sumu ndani ya vikao vya chama, yote hayo ni zaidi ya umbeya.
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Kwanini wasiwe CCM wenyewe maana Wanagombania Madaraka
 
Back
Top Bottom