Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu?

Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini?

Uislamu ni dini ya HAKI.
Uislamu ni dini ya AMANI.
Uislamu sio DHULUMA.
Uislamu sio UKATILI
Uislamu sio UGAIDI.
Kukata vichwa watu ni ni UKATILI na UGAIDI.

Kwahiyo mtu anayehubiri kukata vichwa watu ni Gaidi. Kama jeshi la polisi lisingekuwa genge la kulinda watawala wauaji, tungesikia huyu mtu anashikiliwa. Lakini ukitaka kujua ametumwa, ni wazi hawezi kuchukuliwa hatua zozote.

Anyway, huyu ni mtu MPUMBAVU anayejiita Kiongozi wa dini. Huyu ndio wale ambao wakiona kiongozi wa nchi ni Muislamu basi akili zinawatoka, wanakuwa wehu, wanamsujudu na kusahau mafundisho yote ya Mungu. Ndio wanajikuta kutoa kauli kama hizi.
Ni ajabu na kweli, baada ya mauaji ya maelfu ya Watanzania, sasa wameamua kuchafua zaidi kwa kuchochea udini kwa kutumia Watanzania wenzetu wasio na akili. Nasisitiza tena, kukata watu vichwa sio UISLAMU, ni UGAIDI.

Wapumbavu hawa ndio wanafanya UISLAMU uonekane ni dini ya fujo, dini ya hovyo, dini ya mauaji na ugaidi.

Najiuliza kama kuna kiongozi wa Uislamu anaweza kuona ishara hizi za Uislamu kutumika vibaya?
Je! Wanajua kwamba mambo haya yanachafua dini yao zaidi kuliko kutimiza malengo ya wanaowatumia?
Je! Wanaona dalili za Uislamu kuonekana ni dini ya hovyo, ukatili, ugaidi?

Ninachoshukuru Mungu, hizi drama bado hazijalipa. Siku hizi watu wanatembea na akili zao.
Nina uhakika, waislamu wengi wakiona haya matamko wanajiuliza huyu amekuaje kiongozi wetu.

Shetani limevimbiwa damu!
Shetani litatapika damu!
Nawasilisha.
 
Nakuunga mkono hata muislamu ikiuua anaajibishwa no matter kauua mkuristo au muislamu hao watu wanacheza karata ya divide and rule kwa kutumia dini....hapana hatutalikibali.
 
Sijui nyinyi huko, nikiongea sana mtasikia wananisomea aliyebadilisha nguo.
 
Back
Top Bottom