James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
mskilize anasema nn utajua nan anashinda huu uchaguzi
Nimeshamsikiliza ndio maana nimesema atashinda. Kwani vipi, kuna tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mskilize anasema nn utajua nan anashinda huu uchaguzi
Nimeshamsikiliza ndio maana nimesema atashinda. Kwani vipi, kuna tatizo?
Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na wakipiga kura, CCM hatutakuwa na chetu. Watapiga kura za uchungu na kuukataa uchungu zaidi. Zitakuwa kura za kuponya mioyo yao kwakuwa watakuwa wametoa maumivu yao kupitia kukataa.
Hawa wakienda kupiga kura, CCM lazima ije na mbinu mbadala kuliko daladala. Wataikataa CCM na wagombea wake mchana peupe. Wataikataa CCM na wagombea wake kwa kutumia kadi zao za kupigia kura, kwenda kwao kupiga kura. CCM itakataliwa kwa maumivu yaliyotokana na matendo na maneno ya Serikali iliyoundwa nao. Nawataja wa uchache watu hao ambao kama CCM tunapaswa kukesha tukiomba wasiende kupiga kura.
Waliobomolewa nyumba na biashara zao bila kulipwa fidia pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofukuzwa kazi kwa sakata la vyeti bila kupewa hata sumni pamoja na kufanya kazi kwa miongo kadhaa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliopatwa na majanga ya asili bila kupata msaada wa kiserikali pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofungiwa biashara na shughuli zao za kiuchumi kwa njia za kibabe pamoja na wategemezi wao.
Na wote ambao wameoisoma namba kwa namna moja au nyingine!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Ukitaka kujua nan anashinda huu uchaguzi ni simple sana! mskilize mgombea mwenyewe kwa makini utajua nan anashinda
CCM wenyewe hawamtaki kwa vile ameinyang'anya CCM kutoka mikononi mwao na kuweka kwa watu wake wachacheWe mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu
Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha JPM madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu 😁😁😁
We are in 2020 General election, wewe unaleta mambo ya Lowassa wa 2015?
You are joking, right ?
Hata kama hutanii, Edward Lowassa in 2015 won the election massively in the BALLOT BOX....
Changamoto kubwa ya uchaguzi kama tulio nao hapa Tanzania ni KUSHINDA katika sanduku la kura na KUTANGAZWA....
If they do their home well to solve this problem, there's no doubt that the opposition will massively win this year's election....!!
Unadhani ni kaxi rahisi kuwapata hao 10 wa uhakika?Ndiyo maana namomba Lisu akazie sana watu hapo juu uliowataja, hawa kila mmoja angalau awavute watu 10 wa kumpigia kura Lisu, basi kama ulivyosema mchezo umekwisha!
That is the challenge Seif has failed for years and EL failed in last election...Lissu kashashinda kilichopo nikulinda kura its enough
That is the challenge Seif has failed for years and EL failed in last election...