Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakimbizi mbona wapo wengi mkuu? Bashe, Mpango, Nchimbi, et al.
 
Waanze na aliye wabeba km unavyosema kuwa wamebwa ila hawabebeki.
 
Yaani hawa umewapatia hasa
Ndugu nikikupeleka kwenye makaburi yetu hapo Ipogolo (Iringa) yanarudi mpaka 1890’s (na tarehe zipo) hapo ni mjini, ukija huku kijijini kwetu Nyabula nilipo ndio usiseme.

Tuache chuki hayo mambo hayana uhusiano wowote na robust national security measures. Kwanza majirani zetu hatujawahi kuwa na tension nao yoyote historically, alijaribu Amin akapewa dawa yake.
 
Wakimbizi mbona wapo wengi mkuu? Bashe, Mpango, Nchimbi, et al.
Tufanye mpango tuwaondoe.
Au CDF anasemaje?
Lengo lake la kutoa taarifa ni nini?
Au taarifa yake itapuuzwa kama ilivyopuuzwa ya CAG kuhusiana na ufisadi?
Anyway, twende tu japo tutafika tukiwa hoi
 
Umenena
 
Hata namba moja aliyezikwa naye si alikuwa mkimbizi? Na wa kwanza, wa pili na wa tatu pia? Wa nne ni og ila six sijui
Huenda ili unalosema lina ukweli mkuu.
Ubaya wa kuongozwa na wageni ni pamoja na kutojaliwa.
Ona sasa maisha ni magumu na hakuna hata anayetoa neno la faraja zaidi ya kejeli tu ikiwemo kuambiwa tuhamie Burundi.
 
Hoja Muhimu sana kwa wakati tulionao.

Kuwapa vyeo raia wenye asili ya kigeni siyo tatizo, tatizo unampa mtu mamlaka furani kisha anavujisha siri zetu kwenye mifumo ya usalama wa nchi aliyotokea.
Kwa mfano PK, namna alivyotumikia nafasi nyeti nchini Uganda, kisha unamkuta Rwanda akiwa na mamlaka mengine.
Hili halikubaliki, tulikatae.
 
Mmezikumbuka nyuzi za Mchungaji Mtikira leo.
?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…