mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hata namba moja aliyezikwa naye si alikuwa mkimbizi? Na wa kwanza, wa pili na wa tatu pia? Wa nne ni og ila six sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimbizi mbona wapo wengi mkuu? Bashe, Mpango, Nchimbi, et al.Asalaam aleykum wana Jf.
Leo Mkuu wa Majeshi, General Mkunda amegusia kuwa kuna baadhi ya wakimbizi wameshikilia nafasi nyeti serikalini kulingana na taarifa za kiintelijensia.
Sasa lengo la uzi huu ni kuwarahisishia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili kuwabaini wakimbizi wote ambao wameteuliwa kwenye nafasi za maamuzi.
Hii itasaidia kudumisha ulinzi na usalama wa Taifa letu kwani ni hatari sana kukabidhi nafasi nyeti kwa wageni/wakimbizi kwa sababu kuna wale ambao hata kama wameishi miaka 1000 sehemu nyingine, huendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao la asili. Mfano hai ni Mh. PK, Rais wa nchi mojawapo jirani, ambaye ni kama tu alizaliwa na kukulia Uganda, lakini bado kilichotokea wote tunakifahamu.
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba huyu Mh. PK alishikilia nafasi nyeti sana katika nchi ya Uganda ikiwemo Mkuu wa kitengo cha Intelijensia Jeshini, lakini bado tu roho yake na akili yake ilikuwa katika nchi yake ya asili!
Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 2879699
Huyu hapa mwingine
Yaani hawa umewapatia hasaMwingine huyu hapa
Waanze na aliye wabeba km unavyosema kuwa wamebwa ila hawabebeki.Jeshi linakuwa halihusishwi kwenye michakato, na hata wakiwepo huwa ni washiriki tu, Ila wana utaratibu wao wa kufuatilia.
Hiyo taarifa ni matokeo ya kazi wanazofanya, na hapo CDF kapewa go ahead aisome hadharani kutoa alert call kwa kwa watu fulani kuwa wajiandae. Maana wameshabebwa lakini hawabebeki wanajiona wana maguvu mengi sana
Tume ya uchaguzi, Wakurugenzi na TISS wapo tayari kukata jina la mgombea kwa kisingizio cha herufi kukosewa lakini kamwe si kwa kuangalia jambo kubwa kama la Uraia.
Ndugu nikikupeleka kwenye makaburi yetu hapo Ipogolo (Iringa) yanarudi mpaka 1890’s (na tarehe zipo) hapo ni mjini, ukija huku kijijini kwetu Nyabula nilipo ndio usiseme.Yaani hawa umewapatia hasa
Hapa ni km wamo ila kisiki cha mpingo ni huyo wa pili kwenye horodha yako kwani kaiba nao sana.Tuelekeapo 2025 zongo linaanza kwa Ngopam, Nanaki, Sheba, Rushiba, Tozi, Ngashuba n.k.
Tufanye mpango tuwaondoe.Wakimbizi mbona wapo wengi mkuu? Bashe, Mpango, Nchimbi, et al.
UmenenaWatanzania tupo warahisi sana kuchezewa akili zenu. Lakini acha tu tuchezewe kwani huwa hatutaki kutafakari. Hivi jambo kama ni hili ni la utekelezaji au ni la kusemea kwenye majukwaa! Tuna idara za usalama, upelelezi na ulinzi. Kama wamegundua kuna watu wa aina hii kwa nini wasiondolewa kwanza? Rais kila siku ni lazima apewe briefing kuhusu masuala mbali mbali ya nchi, ina maana hawakumwambia huko kwenye vikao? Kwangu mimi hili ni suala la utekelezaji zaidi na siyo suala la kusemea jukwaani. Otherwise, kuna jambo fishy linataka kufanywa na huu ni mwanzo tu wa kulihalalisha.
Hakuna kitu hapo,hizo ni siasa uchwara za bongo.safari hii wamepatikana wajanja kwa wajanja, ngoja tuone uhuru kenyata na raila odinga walikiona cha moto walipojifanya wenye nchi, ngoja tusubiri …
Hatari sana Mkuu.Mbaya zaidi mpaka tumetengeneza nafasi ya cheo ambacho hata hakipo kwenye katiba cha Naibu PM ili tumpe madaraka makubwa mkimbizi.
Huenda ili unalosema lina ukweli mkuu.Hata namba moja aliyezikwa naye si alikuwa mkimbizi? Na wa kwanza, wa pili na wa tatu pia? Wa nne ni og ila six sijui
Dawa ni kuwahamisha waoHuenda ili unalosema lina ukweli mkuu.
Ubaya wa kuongozwa na wageni ni pamoja na kutojaliwa.
Ona sasa maisha ni magumu na hakuna hata anayetoa neno la faraja zaidi ya kejeli tu ikiwemo kuambiwa tuhamie Burundi.
Tabora , mkoa wa wakimbiziKwani Bashe asili yake wapi?
Kuna mchezaji wa timu ya pamba anaitwa Halid Bitebo unamkumbukaAkitajwa unitag mkuu nije nimuone walau jinale!
ulimwenguni amah...?jenerali nae si mkimbizi?? sema kazeeka tu sasa hana madhara; joka la kibisa halina sumu.
Hoja Muhimu sana kwa wakati tulionao.Asalaam aleykum wana Jf.
Leo Mkuu wa Majeshi, General Mkunda amegusia kuwa kuna baadhi ya wakimbizi wameshikilia nafasi nyeti serikalini kulingana na taarifa za kiintelijensia.
Sasa lengo la uzi huu ni kuwarahisishia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili kuwabaini wakimbizi wote ambao wameteuliwa kwenye nafasi za maamuzi.
Hii itasaidia kudumisha ulinzi na usalama wa Taifa letu kwani ni hatari sana kukabidhi nafasi nyeti kwa wageni/wakimbizi kwa sababu kuna wale ambao hata kama wameishi miaka 1000 sehemu nyingine, huendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao la asili. Mfano hai ni Mh. PK, Rais wa nchi mojawapo jirani, ambaye ni kama tu alizaliwa na kukulia Uganda, lakini bado kilichotokea wote tunakifahamu.
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba huyu Mh. PK alishikilia nafasi nyeti sana katika nchi ya Uganda ikiwemo Mkuu wa kitengo cha Intelijensia Jeshini, lakini bado tu roho yake na akili yake ilikuwa katika nchi yake ya asili!
Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 2879699
Naunga mkono hojaKweli Mkuu, kwenye ofisi zetu za umma kuna watu wana roho mbaya hujapata kuona!
Ukifuatilia uraia wao, wengi una mashaka.
Watanzania/Watanganyika wengi ni wakarimu na wana roho ya upendo.
Mmezikumbuka nyuzi za Mchungaji Mtikira leo.Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?
Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.
Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.
- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
Pitieni huu uzi