mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ako Mungai wakati furani ako na uwaziri wa mambo ya elimu hakuwa mbongo alikuwa raia wa nchi jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Ako Mungai wakati furani ako na uwaziri wa mambo ya elimu hakuwa mbongo alikuwa raia wa nchi jirani
Kwanza mimi siwajui. Pili tayari tushakuwa na maraisi sita.Sasa walifikaje hapo Hadi kuwa kiongoz wa weenye maamuzi Kama siyo kuteuliwa
Pia mm namkumbuka mbunge wa kiteto papias alikuwa mrundi yule na Hadi Leo Ni tajiri yuko ddoma hapaAko Mungai wakati furani ako na uwaziri wa mambo ya elimu hakuwa mbongo alikuwa raia wa nchi jirani
Ahahaha acha utani bana rais wa mawe Ni mtanzania original yule Ni mnyairanba Hana utusi Wala uhutuYule anaechora chora mawe[emoji4]
Sio muda Bomu linalipuka🤣🤣🤣🤣🪑💺Nina wasiwasi na mwenezi wa chama fulani naye ni mmoja wao.
hizo ni kauli za wakimbiz kujilinda watu wasiamkeHadi mwenye chama pia anahusishwa kuwa Ni muoman [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tuseme ukweli watanzania halisi kwa asili Ni wagogo tu
Ila pia wanasemaga malecela nae Ni mkongomani [emoji23][emoji23]
Mambo ya awamu ya Tatu hayo🤣🤣🤣🤣🪑💺jenerali nae si mkimbizi?? sema kazeeka tu sasa hana madhara.
HakikaMkila nyama za watu kwa siri ipo siku mmoja wenu ataropoka mbele za watu.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Ilikuwa ikijulikana kabisa kama Mungai baba yake alikuwa na asili ya kenya alihamia Tanganyika miaka mingi iliyopita na nafikiri baada ya uhuru aliukana uraia wa kenya(kama bado alikuwa hai) ila mama yake ni Mtanganyika.Ako Mungai wakati furani ako na uwaziri wa mambo ya elimu hakuwa mbongo alikuwa raia wa nchi jirani
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Kuna msomali ako na uwaziri wa mashamba