Katika wahaya 10 watano Wana asili ya Rwanda hasa Karagwe...wamekuja Tz kwa kuolewa, kuhamia, kuoa wengine basi tu ni watutsi waliojikuta Tz na wanapiga kihaya ile mbaya...
NB. Zamani watutsi, wahaya, wanyankole,wahima nk walikuwa chini ya utawala maarufu sana ulioitwa Bunyoro-kitara ambayo uliangushwa baada ya Buganda kingdom kushirikiana na waingireza kuiangusha miaka ya 1800...
Hii mipaka tu imewekwa na wazungu ila wote ni ndugu kwa namna moja au nyingine
Bado wengi ikiwemo wahaya, wanyankole, wahima, wairu,wakiga,na watutsi wanaamini ipo siku Bunyoro-kitara kingdom itarudi kwenye glory yake..
Ndo maana ukikaa na muhaya vzr utagundua hawapo kiivyo Tz...watz wengi wanawaita wakabila na wabaguzi lakini huo ndo ukweli ipo siku Kagera na Bukoba itaungana na Rwanda na sehemu ya Uganda kuunda kingdom mpya..
Ndo maana Hadi Leo subchief ya kihaya Bado zinafanya kazi ikiwemo ile iliyotawala kyamutwara Bukoba ya sasa...ikulu yake Bado ipo...
Karagwe siku zote ilitawaliwa na wahima wakina king Rumanyika na ipo siku kingdom zitarudi...
Ndo maana watu wa Kagera hata kuuza ardhi wa watu Baki ni ngumu mno