Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wenye uthubutu wa kutaja wahusika hadhari huwa ni makini sana, kuliko wale wenye kutaka kuuzunguka mbuyu tu hali wakiwa na taarifa zote muhimu.

Beleshi lazima liitwe kwa jina lake, wala siyo kutaka kulitambua kama kijiko kikubwa ili kukwepa lawama.
 
Hili nalo nendeni mkalitizame
 

Attachments

  • FB_IMG_1705984051949.jpg
    FB_IMG_1705984051949.jpg
    52.3 KB · Views: 2
Ame
Watanzania tupo warahisi sana kuchezewa akili zenu. Lakini acha tu tuchezewe kwani huwa hatutaki kutafakari. Hivi jambo kama ni hili ni la utekelezaji au ni la kusemea kwenye majukwaa! Tuna idara za usalama, upelelezi na ulinzi.

Kama wamegundua kuna watu wa aina hii kwa nini wasiondolewa kwanza? Rais kila siku ni lazima apewe briefing kuhusu masuala mbali mbali ya nchi, ina maana hawakumwambia huko kwenye vikao?

Kwangu mimi hili ni suala la utekelezaji zaidi na siyo suala la kusemea jukwaani. Otherwise, kuna jambo fishy linataka kufanywa na huu ni mwanzo tu wa kulihalalisha.
Akikosekana wa kumvisha paka kengele, inabidi tu milio ya kuashiria hali ya hatari isikike kila kona.
Hata hivyo, mwenye mamlaka ya juu kabisa ya kuteua na kutengua amepata taarifa live na ni imani yetu kuwa inafanyiwa kazi sasa.
 
Katika wahaya 10 watano Wana asili ya Rwanda hasa Karagwe...wamekuja Tz kwa kuolewa, kuhamia, kuoa wengine basi tu ni watutsi waliojikuta Tz na wanapiga kihaya ile mbaya...

NB. Zamani watutsi, wahaya, wanyankole,wahima nk walikuwa chini ya utawala maarufu sana ulioitwa Bunyoro-kitara ambayo uliangushwa baada ya Buganda kingdom kushirikiana na waingireza kuiangusha miaka ya 1800...
Hii mipaka tu imewekwa na wazungu ila wote ni ndugu kwa namna moja au nyingine

Bado wengi ikiwemo wahaya, wanyankole, wahima, wairu,wakiga,na watutsi wanaamini ipo siku Bunyoro-kitara kingdom itarudi kwenye glory yake..
Ndo maana ukikaa na muhaya vzr utagundua hawapo kiivyo Tz...watz wengi wanawaita wakabila na wabaguzi lakini huo ndo ukweli ipo siku Kagera na Bukoba itaungana na Rwanda na sehemu ya Uganda kuunda kingdom mpya..
Ndo maana Hadi Leo subchief ya kihaya Bado zinafanya kazi ikiwemo ile iliyotawala kyamutwara Bukoba ya sasa...ikulu yake Bado ipo...
Karagwe siku zote ilitawaliwa na wahima wakina king Rumanyika na ipo siku kingdom zitarudi...
Ndo maana watu wa Kagera hata kuuza ardhi wa watu Baki ni ngumu mno
 
Back
Top Bottom