dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
-
- #561
[emoji1787][emoji23]dir kuna shida kwenye teuzi
Mns wanaoteuliwa hawachunguzwi kwanza kama zaman ama [emoji3531] [emoji3590] [emoji178] [emoji177] [emoji7] [emoji108] [emoji3531] [emoji3590] [emoji178] [emoji177] [emoji7] nikopalekwawakalaaanakuja
Sendoff ya ndugu wa npm au vp ?Hata juz kulikuwa na sendooff ya binti ilifanyika Kigali akadai ndio ndgu zake wapo huko waache siasa wanawajua wote bongo kweli kaz kweli kweli
Huyo Biteko ni miongoni mwa watu wa kutiliwa mashaka makubwa. Maana kila alipowekwa alijifanya mzalendo sana kwa maneno lakini matendo yake ni mabaya ya kutisha.Biteko ameyatimba sijui kama atasalimika,kashfa ya hekalu la Oysterbay halijaisha linaibuka hili la uhamiaji haramu.
Hata akistaafishwa haina shida. Ametimiza wajibu wake wa msingi, wa uzalendo kwa nchi yake, siyo kwa watawala.Binafsi nimemshanga sna huyu cdf Ana Access ya kuonana na watawla ila eti kaamua kukaa kimya ili aje aonekane shujaa sijui aliwaza nni huyu jamaa ujumbe wake siyo mzuri kwa watawala lzm atafanyiwa kikao Kisha kumlazimisha astaafu
Upendo ni mhutuUpendo Peneza mchaga
Ukiona hivyo kafikia hapo jua pengine Kuna watu wameweka pamba masikioni kaamua kulipuka Tena kikao kizito Cha magenerali wote wa Jeshi na mpaka kasema Ina maana Hilo jambo magenerali wote wako nayeBinafsi nimemshanga sna huyu cdf Ana Access ya kuonana na watawla ila eti kaamua kukaa kimya ili aje aonekane shujaa sijui aliwaza nni huyu jamaa ujumbe wake siyo mzuri kwa watawala lzm atafanyiwa kikao Kisha kumlazimisha astaafu
Halafu Lemutuz Mnyakyusa🤣🤣Hadi mwenye chama pia anahusishwa kuwa Ni muoman [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tuseme ukweli watanzania halisi kwa asili Ni wagogo tu
Ila pia wanasemaga malecela nae Ni mkongomani [emoji23][emoji23]
Ila ukiangalia ile mbegu ni za kikokongomaniHalafu Lemutuz Mnyakyusa[emoji1787][emoji1787]
Mwamba yupi , yule aliyeendazake?Nasikia ni issue iliyomtoa mwamba
Ni Kweli anamiliki hekalu oystarbay au uzushi wa kisiasaBiteko ameyatimba sijui kama atasalimika,kashfa ya hekalu la Oysterbay halijaisha linaibuka hili la uhamiaji haramu.
Sijawahi kuona cdf hovyo zaidi ya huyo. Huyo sasa mimi nimekuwa na mashaka nae makubwa sana.Binafsi nimemshanga sna huyu cdf Ana Access ya kuonana na watawla ila eti kaamua kukaa kimya ili aje aonekane shujaa sijui aliwaza nni huyu jamaa ujumbe wake siyo mzuri kwa watawala lzm atafanyiwa kikao Kisha kumlazimisha astaafu
Lemtuz mtoto wa mgogo John Malecela na sura copy ukongo autoe wapi?Ila ukiangalia ile mbegu ni za kikokongomani
Wapo wengi tu , usisahau kuwa wengi waliletwa na mrundi Ilufugam!Tuelekeapo 2025 zongo linaanza kwa Ngopam, Nanaki, Sheba, Rushiba, Tozi, Ngashuba n.k.
Inawezekana aliwaambia wakakauka sasa ameamua kuwaambia in public ili taifa lijue uzembe wa majeshi yetuHili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Hakuna kitu kama hicho.Inawezekana aliwaambia wakakauka sasa ameamua kuwaambia in public ili taifa lijue uzembe wa majeshi yetu
Zitto kateuliwa nafasi gani ya maamuzi?VP, Dotto Biteko, Bashite, Musukuma,Zitto Kabwe, Kigwangwala yaani list ni ndefu