Nimependa uzalendo wako kwa Tanganyika.Mimi siyo Mtanzania, mimi Mtanganyika. Kumbuka hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa uzalendo wako kwa Tanganyika.Mimi siyo Mtanzania, mimi Mtanganyika. Kumbuka hilo.
Hizo nchi ulizotaja utawazuwia vipi wasiingie Tanzania?Umenena vyema ila kiukweli hao Burundi, DRC na Rwanda wana roho mbaya. Hakuna nchi watakayoenda wasisumbuliwe. Hapo Zambia wananyanyasika sana wakati kuna watanzania wengi hata vibali hawana lakini wanaishi fresh bila usumbufu.
Usimsahau Nyerere na Mkapa, walishaandikwa sana zamani kuwa ni wageni ardhi hii.VP, Dotto Biteko, Bashite, Musukuma,Zitto Kabwe, Kigwangwala yaani list ni ndefu
Siyo uzalendo ni ukweli, mimi nimezaliwa kabla ya nchi hii kuitwa Tanzania.Nimependa uzalendo wako kwa Tanganyika.
Huwa namkubali sana FaizaFoxy lakini katika hili ameniangusha sana. Kimsingi Mtu kama CDF kuzungumza vile ni dhahiri yeye na Boss wake(Rais) + System wanajua wanachokifanya. Pia ninaamini taarifa inayosomwa kwa Rais huwa inafanyiwa clearance na hata mwenyewe kuipata kabla na sio kwamba pale ndio anaipata.Kwa mara yakl kwanza Mrembo Faiza nakubaliana na wewe. Labda kama Rais ameamua kulitumia jeshi kisiasa kuwatisha watu wanaompa changamoto kwenye nafasi yake. Vinginevyo ni upoyoyo wa kiwango Cha juu kabisa
Usimsahau Samia ni raia wa Oman.Usimsahau Nyerere na Mkapa, walishaandikwa sana zamani kuwa ni wageni ardhi hii.
Ukimaliza hapo, tuambie kwenu wapi?
Chama dhaifu huzalisha serikali dhaifuWatanzania tupo warahisi sana kuchezewa akili zenu. Lakini acha tu tuchezewe kwani huwa hatutaki kutafakari. Hivi jambo kama ni hili ni la utekelezaji au ni la kusemea kwenye majukwaa! Tuna idara za usalama, upelelezi na ulinzi.
Kama wamegundua kuna watu wa aina hii kwa nini wasiondolewa kwanza? Rais kila siku ni lazima apewe briefing kuhusu masuala mbali mbali ya nchi, ina maana hawakumwambia huko kwenye vikao?
Kwangu mimi hili ni suala la utekelezaji zaidi na siyo suala la kusemea jukwaani. Otherwise, kuna jambo fishy linataka kufanywa na huu ni mwanzo tu wa kulihalalisha.
We mgeni, Malengo , Sasa kama wako kwa malengo tofauti ndo mana tumewashtukia, ila wangekuwa wanaipambania nchi Wala tusingeshtukaMipaka iliwekwa, na wakoroni, jamii moja ikajikuta IPO Nchi mbili,mfsno Jaluo,Kenya na tz,mmsai Kenya na tz, sio dhambi,ukisema kama raia yoyote anayefanana na watu wa Nchi nyingine, aondoke, huo ni ujinga na upumbavu, vice president wa USA, baba mjamaika, mama Indian, kazaliwa USA!
Obama, Mama mzungu, baba M Kenya!
Trump, Biden wana asili ya Ireland, Biden alienda mpaka kijiji alichotoka babu yake, sie mi afrika bado, tunapalulana na kuchukiana kisa mie naitwa mkama, na Uganda wapo wanaoitwa mkama, au Mimi naitwa onyango,cha cha na Kenya wapo kina onyango, ni akili za kijinga Sana,
Dunia inategnenza uwezekano wa kwenda kuishi mwezini, sie tunabaguana kwa makabila!
Upinzani wa kuitoa CCM nipo mbioni kuanzisha , naunda chama soon, niungeni mkono tu,CCM lazima itoke ili nchi ikae sawa
Je tunao upinzani wa kuitoa CCM ?
Unaambiwa aliletwa na wajomba zake kutoka hko msumbijiBenjamin Mkapa alikua siyo Mtanzania, alikua mtu wa Msumbiji lakin akaja kwenye Siasa mpaka akawa Raisi.
Kwaiyo Mimi sioni ajabu kigumu Usalama wa Taifa wawe makini sana kwenye Kufuatilia.
Kinana ni Msomali.CD limemponyoka.soon tutashangaa anaenda ubarozi,hajui kama wenye chama akina rahman ni wageni pia.
Jiwe nae hakuwa mtanzaniaSuala siyo asili ya mtu. Bali kuwa na wahamiaji haramu wanaotaka kupoka mamlaka ya nchi. Hatujui dhamira zao.
Hao akina Obama walikuwa wazi, na hawakuwahi kuwa na doa lolote katika kuvunja shetia za nchi. Obama ni raia wa kuzaliwa wa USA, na kwa taratibu za nchi alilazimika kufanya mambo machache tu ya kisheria ili kuukamilisha uraia wake.
Sisi hawa wa kwetu ni shida. Maana kwanza ni waongo. Ukimwuliza Biteko kabila gani, atakuambia ni msukuma!! Wakati siyo kweli. Kama una dhamira njema, kwa nini usikamilishe taratibu zote za kishetia, kama vile kuukana uraia wa wazazi wako, kufanyiwa assessment na jamii juu ya uzalendo wako kwa Tanzania, halafu uwe raia kamili wa Watanzania?
Kwa nini uwadanganye watu kuwa wewe ni msukuma. Halafu umepata cheo, unatumia hicho cheo kuwanufaisha watu wa huko iliko asili yako huku ukiwapora watanzania asilia maeneo yao ya leseni za uchimbaji dhahabu na kuwapa hao watu wa kwenu? Watu wa namna hii hata wakiomba uraia wanatakiwa kinyimwa kwa sababu wameonesha wazi kuwa hawaipendi Tanzania wala watu wake.
Unajuwa Prof janabi babu yake alitokea Sudan, akaja akalikita dodoma,ndipo akazaliwa mohamedUsimsahau Nyerere na Mkapa, walishaandikwa sana zamani kuwa ni wageni ardhi hii.
Ukimaliza hapo, tuambie kwenu wapi?
Hahahaah wazungu.ni mashetanj ulitaka tuwe taifa moja kma marekani siyoHizo nchi ulizotaja ugtawazuwia vipi wasiingie Tanzania?
Au wapo kwa vizazi vingapi hivi sasa?
Kweli mzungu ni mashetani, aliyekuja kuweka hii mipaka ya kijinga kabisa. Kakaa berlin huko juu ya meza akajichorea tu. Tutabaguwana mpaka tuuwane, mipango ya Berlin ya kututawala.
Wewe sio mtz ,tunaweza kukutimua Sasa iviMimi naamini bigezo na masharti yamefatwa.
Ikiwa tutaanza kukokoa vizazi vya watu vya tatu na na nyuma vya Watanzania basi tutajikuta nusu nzima au zaidi siyo wenye asili ya Tanzania.
Mradi sheria na kanuni za uhamiaji zimefatwa na vetting za kiusalama wamepita hao ni raia tu.
Leo Rishi Sunak ni waziri mkuu w Uingereza, wakifatilia kizazi chake cha tatu nyuma, tutamkuta ana Utanzania.
Ndio mjitokeze Kisha mrudi kagame au tshekedi akawalee na museveni pmj na ndayshimie wawapatie ardhi mkaaze maisha yenu hukoNa sisi ambao ni wakimbizi ila Hatupo kwenye nafasi zenye maamuzi hatima yetu ipoje ?