Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Fuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishukuru
Kwani obama hajachanganya damu? Wajukuu wa mzee mwinyi wasipewe madaraka kisa wamechanganya damu? BASHE ana asili ya wapi? Kiongozi wako mkuu unajua babu na wajomba zake wako wapi?

Au shida ni kutoka rwanda na Burundi? Mtu akiwa na asili ya somali au oman ni sawa. Ila mwingine akitopakana ma rwanda burundi congo ni dhambi? WATANGANYIKA ACHENI UJINGA
 
Our government is infiltrated by forces which are not friendly to our country,na tumekisema hili repeatedly,kwa hiyo Rais anjua.Kwa nini mamlaka haichukui hatua kuwa flushout hawa watu ni kitendawili.Could it be that ipo mamlaka nyingine nyuma ya pazia tofauti na hii tunayoiona inayotawala nchi?Ndio,inawezekana kabisa,na kwa hali ya sasa Dunia inavyoendeshwa,
this is probably the main reason.Do anything different from their directives,you are gone.Magufuli was eliminated because of that.

You need to follow the link below to appreciate what I am talking about.

 
Tumechelewa ndugu wako wengi tuombe Mungu atulin
Fuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishatulinde
Tumechelewa ndugu wako wengi sijui kama tuko serious kwenye hili.
 
WAPO WENYEVITI wa CCM pia
 
Mkuu kwani Katiba yetu inasemaje juu ya uteuzi wa nafasi za juu na issiue ya Uraia?
 
Rais wa Sasa ni mkimbizi kutoka Nchi ya nje ya zanzibar.amekuja kutawala Huku Tanganyika na kuchuma Mali za Tanganyika na kupeleka kwao.
Nyinyi toka 1964 mumeivamia nchi yetu na kuuwa watu zaidi ya 10 000 mumetuchukulia pesa zetu kutoka benki kuu ya Afrika Mashariki iliyovunjika , mlituibia kiti UN, mlituibia kila kitu
 
Hapana !
Najaribu kuonyesha kwamba kila aliyefuata taratibu zote za sheria inavyotaka ili atambulike kuwa ni raia halali wa Tanzania ana haki zote kupata nafasi yeyote ya uongozi ndani ya Nchi. !
Uzalendo upoo??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…