ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Embu ona ulivyobadilishwa. Yaani unaitwa Fabian Vitus. Hayo majina siyo ya Africa ni namna ya kukana asili yako ili usiitwe mhamiajiHivi nawe sio mmoja wetu[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu ona ulivyobadilishwa. Yaani unaitwa Fabian Vitus. Hayo majina siyo ya Africa ni namna ya kukana asili yako ili usiitwe mhamiajiHivi nawe sio mmoja wetu[emoji1787]
Dereva haja unaweza kupunga upepoNipo siti ya mbele
Mpaka aseme hadharani ujue taratibu zote zilishafatwaMkuu wa majeshi kulalamika mbele ya camera si weledi
Kilitokea vita wao ndio waathirika wa kwanza.Mkuu wa majeshi kulalamika mbele ya camera si weledi
🤣🤣🤣🤣🤣Ntamaholo,Ntaholija mbn Atari mzeeeEmbu ona ulivyobadilishwa. Yaani unaitwa Fabian Vitus. Hayo majina siyo ya Africa ni namna ya kukana asili yako ili usiitwe mhamiaji
Waramseekwann msaidizi wa bimkubwa alipoteuliwa chama tawara burundi kilimpongeza sana? na inasemekana anaongea kirundi na kinyarwanda nimemaliza mm
Kwani obama hajachanganya damu? Wajukuu wa mzee mwinyi wasipewe madaraka kisa wamechanganya damu? BASHE ana asili ya wapi? Kiongozi wako mkuu unajua babu na wajomba zake wako wapi?Fuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishukuru
Our government is infiltrated by forces which are not friendly to our country,na tumekisema hili repeatedly,kwa hiyo Rais anjua.Kwa nini mamlaka haichukui hatua kuwa flushout hawa watu ni kitendawili.Could it be that ipo mamlaka nyingine nyuma ya pazia tofauti na hii tunayoiona inayotawala nchi?Ndio,inawezekana kabisa,na kwa hali ya sasa Dunia inavyoendeshwa,Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?
Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.
Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.
- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
Pitieni huu uzi
Tumechelewa ndugu wako wengi sijui kama tuko serious kwenye hili.Fuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishatulinde
WAPO WENYEVITI wa CCM piaKwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?
Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.
Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.
- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
Pitieni huu uzi
Mkuu kwani Katiba yetu inasemaje juu ya uteuzi wa nafasi za juu na issiue ya Uraia?Kwani obama hajachanganya damu? Wajukuu wa mzee mwinyi wasipewe madaraka kisa wamechanganya damu? BASHE ana asili ya wapi? Kiongozi wako mkuu unajua babu na wajomba zake wako wapi?
Au shida ni kutoka rwanda na Burundi? Mtu akiwa na asili ya somali au oman ni sawa. Ila mwingine akitopakana ma rwanda burundi congo ni dhambi? WATANGANYIKA ACHENI UJINGA
Kapekue ndo uje kumshutumu bashungwa hapaMkuu kwani Katiba yetu inasemaje juu ya uteuzi wa nafasi za juu na issiue ya Uraia?
inaonekana Wanyarwanda moo Wengi sana mwenye nchi yetuKapekue ndo uje kumshutumu bashungwa hapa
Kama mfumo unawaruhusu acha wawe wengiinaonekana Wanyarwanda moo Wengi sana mwenye nchi yetu
Nyinyi toka 1964 mumeivamia nchi yetu na kuuwa watu zaidi ya 10 000 mumetuchukulia pesa zetu kutoka benki kuu ya Afrika Mashariki iliyovunjika , mlituibia kiti UN, mlituibia kila kituRais wa Sasa ni mkimbizi kutoka Nchi ya nje ya zanzibar.amekuja kutawala Huku Tanganyika na kuchuma Mali za Tanganyika na kupeleka kwao.
Uzalendo upoo??!Hapana !
Najaribu kuonyesha kwamba kila aliyefuata taratibu zote za sheria inavyotaka ili atambulike kuwa ni raia halali wa Tanzania ana haki zote kupata nafasi yeyote ya uongozi ndani ya Nchi. !