Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Najiona tumebaki wawili ama watatu tu kwenye hii vita ya kusema ukweli pasina kupindisha maana tunaamini katika kweli maana kweli humuweka mtu Huru Daima.
Nashangaa sioni thread tena za wapigania kweli Hawa Xi Jinping Natafuta Ajira na wengine. Je mmekubali pesa za single mother? Pesa Chafu?
Naomba muieleze mahakama kama mmefika Bei wakuu ili nijue nimebaki na Robert Heriel Mtibeli pekee kuisema kweli.
Sina la ziada.