Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
 
Kuna ushahidi wamekamatwa??
 
Huwezi kujua 'Motives' zilizowasukuma hadi kuamua kufanya tukio hilo.
 
Hawa wata hakikisha wanashiba vizuri halafu kazi itaanza mmoja baada ya mwengine kazi wanayo pole yao.
Siku hizi hawahangaiki sana..kuna sindano flan zinakua kama kumi hivi, zinakufanya unaskia maumivu makali ya mwili ndani kwa ndani,,,na sindano znavoyoongezeka ndio maumivu makubwa makali zaidi, ukigoma ndio ivyo unakufa mdogo mdogo
 
Nimewaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…