Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
tunategemea kusikia jumuiya ya waislam wakiandamana kupinga shambulio dhidi ya Urusi ambaye amekuwa akiwatetea sana. Hamas pia tunategemea waandamane kupinga shambulio. wapalestina pia tunategemea waandamane kupinga shambulio. kwasababu nchi nyingi za kikristo zimeandamana sana kupinga kinachoendelea gaza.Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.
Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.
Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.
Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.
Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.
Nawapa pole sana.
hapo ndipo tutaijua rangi yao halisi ni ipi. ama la tusijisumbue hata kusubiri icho kwasababu jibu tayari tunalo.