Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

Hao hapo..
Screenshot_20240323_144447_X.jpg
Screenshot_20240323_144445_X.jpg
Screenshot_20240323_144415_X.jpg
Screenshot_20240323_144433_X.jpg
Screenshot_20240323_144338_X.jpg
 
Wa
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
ni warusi kwa warusi wanajuana
 
Yes, kuchezea Rusia au Israel ni kifo. Bora ukachezee nchi za NATO wao wana kufunga kifungo cha maisha huku unakula chakula kizuri.
 
Sahihi kabisa Israel au Russia ni bora ujiue wasikunase hao jamaa ni makatili balaa.

Hawa wataenda kuimbishwa kwaya katika chamber za kirusi muda sio mrefu watataja ramani yote.
 
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
Hata hao walioshambulia urusi wana roho ngumu vile vile
 
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
Kuna kitu kinaitwa Enhanced Interrogation. Hata CIA wanatumia.

Dah siyo poa hicho.

Yaani ukimaliza hayo mahojiano na akili zinaruka , unakuwa mwehu.
 
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile.

Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi.

Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta.

Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu.

Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa wa Azov na hao ni mateka wa vita sasa imagine hawa walioshambulia raia katika uwanja usio wa kivita.

Nawapa pole sana.
Uchunguzi wa awali kwa mujibu wa FSB wale magaidi walikuwa na contact person kutokea Ukraine, Ukraine na US ambaye mzee wa kudandia wamepinga.

View: https://m.youtube.com/watch?v=SFMBWYFLg4I
 
Back
Top Bottom