DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sipati picha chemba ya mahojiano itakuaje😂
Sahihi kabisa Israel au Russia ni bora ujiue wasikunase hao jamaa ni makatili balaa.
Hawa wataenda kuimbishwa kwaya katika chamber za kirusi muda sio mrefu watataja ramani yote.