Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

Wamejarbu,japo haijatokea ghafla!
 
hujui lolote
 
Hadi saiz wameua watu 115, ubao unasoma magaidi 115, warusi 0.
Nadhani hadi hapo umejui nani kagusa sehemu isiyo sahihi na nani ni katili.
Subiri muda utaamua ila wamekanyaga sehemu isiyo sahihi.
 
Hao magaidi watajuta kuzaliwa, navyojua Russia Spetsnaz GRU Special forces Commando watawafanyia unyama usioelezeka na kuwachinja chinja na watakufa vifo katili na vikali sana mfano kuunguzwa kwa acid Pure Conc, unakufa huku unajiona, watajuta na uhakika huo.
 
Watu wenyewe ni magaidi utawatisha nini!!, au unafikiri mtu kuitwa gaidi ni jina la ubatizo! 😃😃, Gaidi ni shetani mtupu, hatishwi na Hana Cha kupoteza.
Sawa.

Gaidi naye mtu ndio maana kakamatwa mmoja wao anahojiwa na askari tu wa kawaida anatetemeka mwili mzima hapo hajakutana na wazee wenyewe wa kazi.

Omba usiingie mikononi mwa polisi wa upelelezi, wasio julikana au usalama utasema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…