Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

Aisee jamaa kakamatwa kamkata sikio anampa atafune. Hawa watapata tabu sana mpaka roho itakapotoka.
 
Wale mbwa wanaroho mbaya balaa😃
Kuna majitu hayafai dunia hii hata hapa Bongo yapo ukipitia kidogo masimulizi ya mdude ndio utajua kwa uchache kuwa kuna watu wana roho mbaya kupitiliza.

Kuna jamaa hapo juu anasema kuwa eti hawawezi sema😆 hao hawajafinywa na wazee wa kazi shughuli ikianza utasema tu na kila utakacho ambiwa hautabisha bisha hovyo.
 
Sehemu sahihi ni wapi ambapo wangegusa?
Labda Vatican tu makardinali wangewasamehe kama alivyofanya John Paul II lakini serikali hizi za kidunia nyingine utaimba kwaya sauti zote.
 
Sawa.

Gaidi naye mtu ndio maana kakamatwa mmoja wao anahojiwa na askari tu wa kawaida anatetemeka mwili mzima hapo hajakutana na wazee wenyewe wa kazi.

Omba usiingie mikononi mwa polisi wa upelelezi, wasio julikana au usalama utasema tu.
Walio kamatwa ni washukuwa na hayo mahojiano ndo upelelezi wa kupata magaidi halisi.

Na omba zaidi usiingie mikono mwa magaidi
 
Huyo mwenye madamu wamemkata sikio chaap wakamlazimisha kulila.Kazini kwetu kuna kazi.
 
Watajuta kuifuata ile ahadi ya kum.a 72
 
Hadi saiz wameua watu 115, ubao unasoma magaidi 115, warusi 0.
Nadhani hadi hapo umejui nani kagusa sehemu isiyo sahihi na nani ni katili.
Imefika zaidi ya watu 130 waliouawa na magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…