Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

tunategemea kusikia jumuiya ya waislam wakiandamana kupinga shambulio dhidi ya Urusi ambaye amekuwa akiwatetea sana. Hamas pia tunategemea waandamane kupinga shambulio. wapalestina pia tunategemea waandamane kupinga shambulio. kwasababu nchi nyingi za kikristo zimeandamana sana kupinga kinachoendelea gaza.

hapo ndipo tutaijua rangi yao halisi ni ipi. ama la tusijisumbue hata kusubiri icho kwasababu jibu tayari tunalo.
 
Bado wataendelea kuibuka magaidi wengine na kufanya mauaji
hakuna mative inayoweza kujustfy kwenda kupiga risas watu wanaoruka kwanja una ugomvi na serikali karipue miundo mbinu yao ikulu kambi za jeshi bunge sasa wale walevi wenyewe ukute hata putin mwenyewe hawampendi wala yeye hawapendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…