Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile maiti za kwenye viroba ilikuwa ni Burundi? Acha uchawa nduguHapana mkuu, Acha masihara hakijawahi kutokea kitu kama hiki wala kinachokaribiana hata kidogo, Futa kauli yako. Pamoja na matatizo yetu kadha wa kadha ila watanzania tunapendana sana na angalau tuna ka utu japo shida yetu ni uchawa na njaa tu.
ISIS walifutika huko Syria ama bado wapo?Hawa ni wanajeshi wa Serikali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar Asad Wakiwauwa Magaidi wa ISIS.
Hatari sana ndugu, watu walichinjwa sana kama kuku. CCM ni laanaDuniani Kuna unyama mwingi hata sisi yalitokea mengi sana ila naona walinyang'anywa simu zao wakapewa Nokia za kitochi kila mhusika wa viroba
Laiti wangekuwa wanarekodi yale mateso naona hii ingekuwa cha mtoto
Dah inasikitisha mno Au Hamas awaSijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Ukinianza sishndwi kabisa lakini sikuanzi. Uislam unanikataza.
Pale DRC wanaokata kata raia kwa mapanga ni watu gani vile?Mambo ya waarabu hayo huwezi Kuta mataifa civilized yanakua hvo
Warusi.Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Huo mchezo hautaki paparapapara.Ukinianza sishndwi kabisa lakini sikuanzi. Uislam unanikataza.
Hayo utajuwa uliyeruhusiwa na papa kufuramishwa na wanaume wenzio.Huo mchezo hautaki paparapapara.
bado wapo wachache sana lakini hawa nguvu wameshindwa na Serikali ya Syria.ISIS walifutika huko Syria ama bado wapo?
Jina lake nan???mmoja kati ya hawa Watanzania wawili ndio aliuwawa na Hamas.Walijiunga na jeshi la Israel hawakwenda Israel kwa ajili ya kujifunza kilimo kama tunavyoaminishwa.
Halafu watu wanashangaa ya nje na ya kwao wanaona sawa tuHatari sana ndugu, watu walichinjwa sana kama kuku. CCM ni laana
na ndo tunataka kupeleka vijana wetu wakafanye kazi huko!Mambo ya waarabu hayo huwezi Kuta mataifa civilized yanakua hvo
Tumeshaweka utaratibu wa kupeleka mabeki tatu na tupo katika hatua za mwisho za kupeleka manesi 500 wa kikena ndo tunataka kupeleka vijana wetu wakafanye kazi huko!
Kule Rwanda wale makasisi na maaskofu waliokuwa wakichinja Watutsi makanisani wakati wa mauaji ya kimbari mwaka 1994 nao ni Waarabu? Acha chuki za kijinga.Mambo ya waarabu hayo huwezi Kuta mataifa civilized yanakua hvo
Chuki za kijinga ndo zipi?Kule Rwanda wale makasisi na maaskofu waliokuwa wakichinja Watutsi makanisani wakati wa mauaji ya kimbari mwaka 1994 nao ni Waarabu? Acha chuki za kijinga.