Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hapana mkuu, Acha masihara hakijawahi kutokea kitu kama hiki wala kinachokaribiana hata kidogo, Futa kauli yako. Pamoja na matatizo yetu kadha wa kadha ila watanzania tunapendana sana na angalau tuna ka utu japo shida yetu ni uchawa na njaa tu.
Zile maiti za kwenye viroba ilikuwa ni Burundi? Acha uchawa ndugu
 
Duniani Kuna unyama mwingi hata sisi yalitokea mengi sana ila naona walinyang'anywa simu zao wakapewa Nokia za kitochi kila mhusika wa viroba
Laiti wangekuwa wanarekodi yale mateso naona hii ingekuwa cha mtoto
Hatari sana ndugu, watu walichinjwa sana kama kuku. CCM ni laana
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?

TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Dah inasikitisha mno Au Hamas awa
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?

TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Warusi.
 
mmoja kati ya hawa Watanzania wawili ndio aliuwawa na Hamas.Walijiunga na jeshi la Israel hawakwenda Israel kwa ajili ya kujifunza kilimo kama tunavyoaminishwa.
 
Attachments

  • 042c0671-697d-44f7-b74f-a3def62fdcc0.jpg
    042c0671-697d-44f7-b74f-a3def62fdcc0.jpg
    69.8 KB · Views: 5
Hatari sana ndugu, watu walichinjwa sana kama kuku. CCM ni laana
Halafu watu wanashangaa ya nje na ya kwao wanaona sawa tu
Yaani masikitiko ya wa nje kisa Udini
Ila ndugu zetu tuliambiwa labda wamehama au wamekosana na wapenzi wao daa
 
Mambo ya waarabu hayo huwezi Kuta mataifa civilized yanakua hvo
Kule Rwanda wale makasisi na maaskofu waliokuwa wakichinja Watutsi makanisani wakati wa mauaji ya kimbari mwaka 1994 nao ni Waarabu? Acha chuki za kijinga.
 
Back
Top Bottom