Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Utaenda kua mtumwa mdogo wangu..Siendi tena unesi Saudi
Utapiga kazi mpaka ukome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaenda kua mtumwa mdogo wangu..Siendi tena unesi Saudi
Kwahiyo asiseme kuhusu hii video,,kisa ni waarabu na waislam 🤣🤣Kule Rwanda wale makasisi na maaskofu waliokuwa wakichinja Watutsi makanisani wakati wa mauaji ya kimbari mwaka 1994 nao ni Waarabu? Acha chuki za kijinga.
Wanajua mziki wa IDF
Kuwataja Waarabu siyo civilised ilhali uhalifu wa namna hiyo unafanywa kote duniani. Rwanda tu hapo jirani yamefanyika tena ndani ya makanisa akini huwaiti uncivilized.Israel kila uchao wanaua wanawake, wazee na watoto kule Gaza lakini mnaona sawa tu. Wakifanya makosa Waarabu wawili watatu basi Waarabu wote washenzi! Kwani Waarabu wamewakosea nini?Chuki za kijinga ndo zipi?
NDIO MAANA NASEMA WAISLAMU WA TANZANIA NI WAJINGA NA WANAFIKI...mmoja kati ya hawa Watanzania wawili ndio aliuwawa na Hamas.Walijiunga na jeshi la Israel hawakwenda Israel kwa ajili ya kujifunza kilimo kama tunavyoaminishwa.
Angelaani tu kilichofanyika lakini kuwataja Waarabu wote kuwa uncivilized si sawa. Mbona Israel wanafanya ukatili mkubwa kule Gaza kwa kuua wanawake, watoto na wazee lakini hamuwaiti washenzi? Au kwa vile Israel ni taifa teule kwahiyo hata wakifanya ushenzi kwenu poa tu?Kwahiyo asiseme kuhusu hii video,,kisa ni waarabu na waislam 🤣🤣
Mkuu kwahiyo umeumia kuona hii ckip ya waarabu wakiuana wenyewe kwa wenyewe????Kuwataja Waarabu siyo civilised ilhali uhalifu wa namna hiyo unafanywa kote duniani. Rwanda tu hapo jirani yamefanyika tena ndani ya makanisa akini huwaiti uncivilized.Israel kila uchao wanaua wanawake, wazee na watoto kule Gaza lakini mnaona sawa tu. Wakifanya makosa Waarabu wawili watatu basi Waarabu wote washenzi! Kwani Waarabu wamewakosea nini?
Kwangu katika ufuatiliaji wangu nimeona migogoro mingi ipo katika nchi za kiarabu ila kama wewe pia umeona ktk mataifa mengine unaweza ukacomment hvoKuwataja Waarabu siyo civilised ilhali uhalifu wa namna hiyo unafanywa kote duniani. Rwanda tu hapo jirani yamefanyika tena ndani ya makanisa akini huwaiti uncivilized.Israel kila uchao wanaua wanawake, wazee na watoto kule Gaza lakini mnaona sawa tu. Wakifanya makosa Waarabu wawili watatu basi Waarabu wote washenzi! Kwani Waarabu wamewakosea nini?
KWAHIYO ALIVYOKUFA KIKATILI DOGO MOLELI NA HAWA WAARABU TUSISEMEAngelaani tu kilichofanyika lakini kuwataja Waarabu wote kuwa uncivilized si sawa. Mbona Israel wanafanya ukatili mkubwa kule Gaza kwa kuua wanawake, watoto na wazee lakini hamuwaiti washenzi? Au kwa vile Israel ni taifa teule kwahiyo hata wakifanya ushenzi kwenu poa tu?
Israel iliombwa itoe ushahidi wa HAMAS kuua watoto na kubaka wanawake hadi sasa wameshindwa. Ushahidi wa ukatili wa Israel kule Gaza upo wazi. Tuwekee wewe picha za watoto waliouawa na HAMAS kule Israel au wanawake waliobakwa.Mkuu kwahiyo umeumia kuona hii ckip ya waarabu wakiuana wenyewe kwa wenyewe????
NB:HATA HAMAS WALIUA WATOTO NA KUBAKA WANAWAKE WA KIYAHUDI....
🤣🤣🤣😂😂😂😊😊
AU HAWATAKIWI KUSEMWA KISA WAARABU MKUU?????
Shukuru Mungu uko kwenye nchi yenye amani, haya matukio yapo kbs!! Tuzidi kupiga magoti kusali!Sitaki kuamini kuwa hilo ni tukio halisi! Labda ni video ya kutengenezwa.
Umechunguza chanzo cha hiyo migogoro ni nini? Waarabu na Wayahudi wameishi pamoja Palestina kwa amani kwa maelfu ya miaka kwanini baada ya 1948 yaanze machafuko? Unajua nani aliyechochea mgogoro na vita nchini Syria? Nani aliyepindua Serikali ya Mursi kule Misri? Ni shetani mkubwa Marekani na vibaraka wake ndio chimbuko la vurugu zote ulimwenguni.Kwangu katika ufuatiliaji wangu nimeona migogoro mingi ipo katika nchi za kiarabu ila kama wewe pia umeona ktk mataifa mengine unaweza ukacomment hvo
Yaani ndg zetu wa imani ya haki hawana hamu na Myahudi..Wanajua mziki wa IDF
Utaenda kua mtumwa mdogo wangu..
Utapiga kazi mpaka ukome
KUHUSU GAZA....NANI ALIANZISHA VITA OCTOBER 07?????Angelaani tu kilichofanyika lakini kuwataja Waarabu wote kuwa uncivilized si sawa. Mbona Israel wanafanya ukatili mkubwa kule Gaza kwa kuua wanawake, watoto na wazee lakini hamuwaiti washenzi? Au kwa vile Israel ni taifa teule kwahiyo hata wakifanya ushenzi kwenu poa tu?
Siungi mkono huyo kijana kuuawa kama hakuwa askari wala hakuwa anapigana dhidi ya HAMAS. Tunapaswa kukemea matendo ya dhulma na ukatili bila kujali matendo hayo yamefanywa na nani. Nyie mnalaani na kukemea tukio hili moja wakati Israel inaua maelfu ya watu wasio na hatia kule Gaza lakini kwenu mnaona poa kwa sababu eti wale ni taifa teule kwa mujibu wa imani yenu.KWAHIYO ALIVYOKUFA KIKATILI DOGO MOLELI NA HAWA WAARABU TUSISEMEView attachment 2847901
Waarabu wanaujua mziki wa wayahudi ndio maana wanawaogopa....Yaani ndg zetu wa imani ya haki hawana hamu na Myahudi..
Wakigeuka moto..
Wakisimama moto
Wakiinuka moto.
NasikiavWayahidi wanapenda lile jicho moja sasa wale waliokamatwa na kuvuliwa nguo sijui kama watapona maskini
Wewe ni kilaza huelewi yanayoendelea kule. Yaliyotokea Oktoba ni mwendelezo wa miaka 75 ya mateso makubwa ya wanachi wa Palestina. Rejea hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutierez kuhusu huu mgogoro uliolipuka hivi karibuni.KUHUSU GAZA....NANI ALIANZISHA VITA OCTOBER 07?????
NB: UKWELI NI KWAMBA JAMII NYINGI ZA WAARABU MASHARIKI YA KATI ZIPO UNCIVILIZED KATIKA MASWALA YA KUISHI KWA AMANI NA KUVUMILIANA TOFAUTI ZAO KUANZIA SANAA MPAKA KIRKUK HADI DAMASCUS....
MKUU MM SIUNGI MKONO WATU WANAOKEMEA MATENDO YA IDF NA KUUNGA MKONO MATENDO YA HAMAS...Siungi mkono huyo kijana kuuawa kama hakuwa askari wala hakuwa anapigana dhidi ya HAMAS. Tunapaswa kukemea matendo ya dhulma na ukatili bila kujali matendo hayo yamefanywa na nani. Nyie mnalaani na kukemea tukio hili moja wakati Israel inaua maelfu ya watu wasio na hatia kule Gaza lakini kwenu mnaona poa kwa sababu eti wale ni taifa teule kwa mujibu wa imani yenu.