Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Chuki za kijinga ndo zipi?
Kuwataja Waarabu siyo civilised ilhali uhalifu wa namna hiyo unafanywa kote duniani. Rwanda tu hapo jirani yamefanyika tena ndani ya makanisa akini huwaiti uncivilized.Israel kila uchao wanaua wanawake, wazee na watoto kule Gaza lakini mnaona sawa tu. Wakifanya makosa Waarabu wawili watatu basi Waarabu wote washenzi! Kwani Waarabu wamewakosea nini?
 
mmoja kati ya hawa Watanzania wawili ndio aliuwawa na Hamas.Walijiunga na jeshi la Israel hawakwenda Israel kwa ajili ya kujifunza kilimo kama tunavyoaminishwa.
NDIO MAANA NASEMA WAISLAMU WA TANZANIA NI WAJINGA NA WANAFIKI...
HII PICHA UNAJUA NI YA KINA NANI????
NA KWANINI HAWA JAMAA WAMEVAA MAVAZI YA JESHI...AU ULIDHANI UTATUDANGANYA KAMA FAIZA FOXY???
KWELI NAAMINI UDINI MZIGO
 
Kwahiyo asiseme kuhusu hii video,,kisa ni waarabu na waislam 🤣🤣
Angelaani tu kilichofanyika lakini kuwataja Waarabu wote kuwa uncivilized si sawa. Mbona Israel wanafanya ukatili mkubwa kule Gaza kwa kuua wanawake, watoto na wazee lakini hamuwaiti washenzi? Au kwa vile Israel ni taifa teule kwahiyo hata wakifanya ushenzi kwenu poa tu?
 
Kuwataja Waarabu siyo civilised ilhali uhalifu wa namna hiyo unafanywa kote duniani. Rwanda tu hapo jirani yamefanyika tena ndani ya makanisa akini huwaiti uncivilized.Israel kila uchao wanaua wanawake, wazee na watoto kule Gaza lakini mnaona sawa tu. Wakifanya makosa Waarabu wawili watatu basi Waarabu wote washenzi! Kwani Waarabu wamewakosea nini?
Mkuu kwahiyo umeumia kuona hii ckip ya waarabu wakiuana wenyewe kwa wenyewe????
NB:HATA HAMAS WALIUA WATOTO NA KUBAKA WANAWAKE WA KIYAHUDI....
🤣🤣🤣😂😂😂😊😊
AU HAWATAKIWI KUSEMWA KISA WAARABU MKUU?????
 
Kwangu katika ufuatiliaji wangu nimeona migogoro mingi ipo katika nchi za kiarabu ila kama wewe pia umeona ktk mataifa mengine unaweza ukacomment hvo
 
Angelaani tu kilichofanyika lakini kuwataja Waarabu wote kuwa uncivilized si sawa. Mbona Israel wanafanya ukatili mkubwa kule Gaza kwa kuua wanawake, watoto na wazee lakini hamuwaiti washenzi? Au kwa vile Israel ni taifa teule kwahiyo hata wakifanya ushenzi kwenu poa tu?
KWAHIYO ALIVYOKUFA KIKATILI DOGO MOLELI NA HAWA WAARABU TUSISEME
Screenshot_20231218-141433.png
 
Mkuu kwahiyo umeumia kuona hii ckip ya waarabu wakiuana wenyewe kwa wenyewe????
NB:HATA HAMAS WALIUA WATOTO NA KUBAKA WANAWAKE WA KIYAHUDI....
🤣🤣🤣😂😂😂😊😊
AU HAWATAKIWI KUSEMWA KISA WAARABU MKUU?????
Israel iliombwa itoe ushahidi wa HAMAS kuua watoto na kubaka wanawake hadi sasa wameshindwa. Ushahidi wa ukatili wa Israel kule Gaza upo wazi. Tuwekee wewe picha za watoto waliouawa na HAMAS kule Israel au wanawake waliobakwa.
 
Kwangu katika ufuatiliaji wangu nimeona migogoro mingi ipo katika nchi za kiarabu ila kama wewe pia umeona ktk mataifa mengine unaweza ukacomment hvo
Umechunguza chanzo cha hiyo migogoro ni nini? Waarabu na Wayahudi wameishi pamoja Palestina kwa amani kwa maelfu ya miaka kwanini baada ya 1948 yaanze machafuko? Unajua nani aliyechochea mgogoro na vita nchini Syria? Nani aliyepindua Serikali ya Mursi kule Misri? Ni shetani mkubwa Marekani na vibaraka wake ndio chimbuko la vurugu zote ulimwenguni.
 
Wanajua mziki wa IDF
Yaani ndg zetu wa imani ya haki hawana hamu na Myahudi..
Wakigeuka moto..
Wakisimama moto
Wakiinuka moto.

NasikiavWayahidi wanapenda lile jicho moja sasa wale waliokamatwa na kuvuliwa nguo sijui kama watapona maskini
 
Angelaani tu kilichofanyika lakini kuwataja Waarabu wote kuwa uncivilized si sawa. Mbona Israel wanafanya ukatili mkubwa kule Gaza kwa kuua wanawake, watoto na wazee lakini hamuwaiti washenzi? Au kwa vile Israel ni taifa teule kwahiyo hata wakifanya ushenzi kwenu poa tu?
KUHUSU GAZA....NANI ALIANZISHA VITA OCTOBER 07?????
NB: UKWELI NI KWAMBA JAMII NYINGI ZA WAARABU MASHARIKI YA KATI ZIPO UNCIVILIZED KATIKA MASWALA YA KUISHI KWA AMANI NA KUVUMILIANA TOFAUTI ZAO KUANZIA SANAA MPAKA KIRKUK HADI DAMASCUS....
 
KWAHIYO ALIVYOKUFA KIKATILI DOGO MOLELI NA HAWA WAARABU TUSISEMEView attachment 2847901
Siungi mkono huyo kijana kuuawa kama hakuwa askari wala hakuwa anapigana dhidi ya HAMAS. Tunapaswa kukemea matendo ya dhulma na ukatili bila kujali matendo hayo yamefanywa na nani. Nyie mnalaani na kukemea tukio hili moja wakati Israel inaua maelfu ya watu wasio na hatia kule Gaza lakini kwenu mnaona poa kwa sababu eti wale ni taifa teule kwa mujibu wa imani yenu.
 
Yaani ndg zetu wa imani ya haki hawana hamu na Myahudi..
Wakigeuka moto..
Wakisimama moto
Wakiinuka moto.

NasikiavWayahidi wanapenda lile jicho moja sasa wale waliokamatwa na kuvuliwa nguo sijui kama watapona maskini
Waarabu wanaujua mziki wa wayahudi ndio maana wanawaogopa....
Na wanawaonea wivu maendeleo yao ya kiuchumi na kimiundo mbinu.... hasa maswala ya kujenga mji
 
KUHUSU GAZA....NANI ALIANZISHA VITA OCTOBER 07?????
NB: UKWELI NI KWAMBA JAMII NYINGI ZA WAARABU MASHARIKI YA KATI ZIPO UNCIVILIZED KATIKA MASWALA YA KUISHI KWA AMANI NA KUVUMILIANA TOFAUTI ZAO KUANZIA SANAA MPAKA KIRKUK HADI DAMASCUS....
Wewe ni kilaza huelewi yanayoendelea kule. Yaliyotokea Oktoba ni mwendelezo wa miaka 75 ya mateso makubwa ya wanachi wa Palestina. Rejea hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutierez kuhusu huu mgogoro uliolipuka hivi karibuni.
 
Siungi mkono huyo kijana kuuawa kama hakuwa askari wala hakuwa anapigana dhidi ya HAMAS. Tunapaswa kukemea matendo ya dhulma na ukatili bila kujali matendo hayo yamefanywa na nani. Nyie mnalaani na kukemea tukio hili moja wakati Israel inaua maelfu ya watu wasio na hatia kule Gaza lakini kwenu mnaona poa kwa sababu eti wale ni taifa teule kwa mujibu wa imani yenu.
MKUU MM SIUNGI MKONO WATU WANAOKEMEA MATENDO YA IDF NA KUUNGA MKONO MATENDO YA HAMAS...
MKUU ULITEGEMEA BAADA YA OCTOBER 07 IDF WANGEFANYA NINI????
KUWAPIKIA BIRIANI HAMAS???
 
Mungu alikuwa na kusudi kubwa sana kwamba USA ndio awe super power wa dunia!

Imagine miislamu ndio ingekuwa supa pawa kama USA?

Tungokoma walahi
 
Back
Top Bottom