Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Una tishio gani sasa TZ ndio maana unaona una amani Ben yupo wapi mpaka leo ?Shukuru Mungu uko kwenye nchi yenye amani, haya matukio yapo kbs!! Tuzidi kupiga magoti kusali!
Marekani kweli kuna vitu anavifanya vingine sio sawa hlo sipingani na ww! Ila mengn ni mambo ya ndani tu waarabu na haya mafundisho batili wanayopata yanawafanya kuwaza vurugu mda woteUmechunguza chanzo cha hiyo migogoro ni nini? Waarabu na Wayahudi wameishi pamoja Palestina kwa amani kwa maelfu ya miaka kwanini baada ya 1948 yaanze machafuko? Unajua nani aliyechochea mgogoro na vita nchini Syria? Nani aliyepindua Serikali ya Mursi kule Misri? Ni shetani mkubwa Marekani na vibaraka wake ndio chimbuko la vurugu zote ulimwenguni.
Wewe unaielewa vizuri historia.SAWA MIMI KILAZA,,,,ILA WEWE NI MNAFIKI WA HISTORIA NA UNA CHUKI ZA KIDINI...
JE MIAKA 3000 YA WAYAHUDI KUTOLEWA KATIKA ARDHI ZA MABABU ZAO NA WAAJEMI NA WARUMI NA WAARABU NA WATURUKI HUYO KATIBU MKUU KAZUNGUMZIA????
Unajua tatizo la waarabu na waislam ni unafiki wa kihistoria hasa kuhusu wayahudi....Wewe unaielewa vizuri historia.
Hizi propaganda za kisiasa zinatia sana watu upofu wa historia.
Kila anayesimulia mambo ya vita vya Gaza na historia ya wayahudi, huwa anaanzia kati kati ya miaka ya hivi karibuni.
Nimemsikiliza msomi Tundu Lisu juzi nikashangaa sana alivyokuwa akieleza historia hiyo, naye akijikita katika propaganda hizo hizo.
Kila msimuliaji wa historia hasa ya Wayahudi, lazima aipotoshe, sielewi ni kwa manufaa ya nani.
Inaonekana kama vile Wayahudi waliokotwa maeneo mbali mbali duniani na kuja kupachikwa Israel na kuanzisha taifa lao bila ya kuwa na asili ya eneo hilo.
Ndiyo propaganda hizo za uongo zinavyopikwa kuonesha kuwa, wayahudi waliokotezwa maeneo mbali mbali ya Ulaya na kuja kupachikwa eneo walipo leo bila ya kuwa na uasili wa eneo hilo, very pathetic!
Iliwahi kutumwa hii video kwenye group moja la watsapp, mie niliangalia kdg tu na nikaifuta hapohapo....Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Kuna kitu inaitwa Nanjing massacre Holocaust ikasome.
Kitu wachina walifanywa na wajapan mpaka leo wanachuki isiyo isha dhidi ya wajapan.
Sababu kuu ni hiyo Nanjing massacre ikifutiwa na utawala wa Japan nchini China.Sijui hiyo ni sababu mojawapo ama Kuna kingine ila nilikua na Mjapani mmoja, Bora umdananishe na mwafrika kuliko kumfananisha na Mchina aliwachukia sana.
Sasa hivi nna mchina, yeye ukitaka habari za Japan, ananyamaza ila unaona Hali yake inabadilika na hapendi kabisa aendelee na hayo mazungumzo.
Ntaifuatilia na kuisoma hiyo kitu, shukrani sana kiongozi.
Moja ya kitu wachina na watoto wao walijiapiza ni kutokuja kuwa weak tena.Sijui hiyo ni sababu mojawapo ama Kuna kingine ila nilikua na Mjapani mmoja, Bora umdananishe na mwafrika kuliko kumfananisha na Mchina aliwachukia sana.
Sasa hivi nna mchina, yeye ukitaka habari za Japan, ananyamaza ila unaona Hali yake inabadilika na hapendi kabisa aendelee na hayo mazungumzo.
Ntaifuatilia na kuisoma hiyo kitu, shukrani sana kiongozi.
Moja ya kitu wachina na watoto wao walijiapiza ni kutokuja kuwa weak tena.
Wao wananacho amini wao kuwa weak kulipelekea kufanyiwa unyama na watu wa nje na ndio maana mpaka leo hawa mabwana wana uchungu wa kuwa strong ili wasiteswe tena.
Hawa ni "Hamas Monsters".Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Siera Leone, Liberia, DRC, Rwanda, Burundi, Angola, Republic of Central Africa, ....ongeza mwenyewe.Wale walifanya kwa wakati Moja ila mataifa ya kiarabu ni kama maisha yao
Jidanganye, hakuna amani itakayopatikana Syria labda mafuta yaishe. Sehemu aliyopo USA hakuna amani inayopatikana. Ni kama DRC siku madini yakiisha basi amani itapatikanaAlau Wasyria wanaweza wakapumua sasa baada ya dikteta mwuaji kufurumushwa.
Akili yako ikija kujua ubaya wa shetani na uchaguzi wa watu ndio itaelewa vzr juu ya Mungu, kwa sasa bado sanaYoote haya Chanzo chake ni Siasa, Madaraka, uongozi, fedha na Starehe.
Mnasema kweli Mungu yupo?
Mimi ni Mkristo lakini inabidi nianza kufikiria Upya hii Doctrine ya Uungu wake.
Matukio yanayoendelea Duniani na watu wanaojifanya wana Dini ni Ushahidi Kabisa kuwa Duniani hakuna Uwepo wala Udhibiti q Nguvu za Mungu.
Ama Mungu ametutupa Mkono kutokana na Dhambi zetu au Mungu anayedhaniwa Yupo basi ni Bosheni tu.
Sio Kufuru lakini najaribu Kutaka kuona Nguvu za Mungu.
Na Mungu aliyehai Aonekane.
Ifike Mahali Mungu tumwambie Ukweli kama Yeye ni Yehova basi tunamtaka aonekane kwa watu wake.
Huo Ukatiri hata Shetani hawezi fanya hadharani.