Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Shukuru Mungu uko kwenye nchi yenye amani, haya matukio yapo kbs!! Tuzidi kupiga magoti kusali!
Una tishio gani sasa TZ ndio maana unaona una amani Ben yupo wapi mpaka leo ?

Hii nchi hii gusa maslahi ya wakubwa utemeshwe moyo
 
Tatizo madogo historia hawataki kusoma na kuchimba wanaona somo la kipuuzi kumbe lina msaada mkubwa.

Huo ukatili unafikia ukatili walio fanyiwa Babu zenu kipindi cha ukoloni na utumwa na wazungu na waarabu.

Hivi mnajua Babu zenu walikuwa wanakatwa nini ili wasizalishe, Bibi zenu wenye mimba si walipasuliwa matumbo live bila chenga.

Mfalme wa kibelgiji alifanya nini wakongo.

Hayo mateso kwenye hicho kideo hayafiki hata robo cha walichofanyiwa babu na Bibi zenu kwa zaidi ya miaka 500 halafu kirahisi rahisi tu mnaambia eti msamehe pumbavu
 
Kuna kitu inaitwa Nanjing massacre Holocaust ikasome.

Kitu wachina walifanywa na wajapan mpaka leo wanachuki isiyo isha dhidi ya wajapan.
 
Umechunguza chanzo cha hiyo migogoro ni nini? Waarabu na Wayahudi wameishi pamoja Palestina kwa amani kwa maelfu ya miaka kwanini baada ya 1948 yaanze machafuko? Unajua nani aliyechochea mgogoro na vita nchini Syria? Nani aliyepindua Serikali ya Mursi kule Misri? Ni shetani mkubwa Marekani na vibaraka wake ndio chimbuko la vurugu zote ulimwenguni.
Marekani kweli kuna vitu anavifanya vingine sio sawa hlo sipingani na ww! Ila mengn ni mambo ya ndani tu waarabu na haya mafundisho batili wanayopata yanawafanya kuwaza vurugu mda wote

Pia serikali nyingi duniani hasa za mashariki ya Kati, Africa na baadhi ya sehemu za Asia hua wanatengeneza adui au propaganda flan ya kusingizia panapotokea changamoto flan mfano rahis ambao unaweza kuelewa ni kipindi Cha mwendazake Kuna mambo ya hovyo aliyafanya akavunja mikataba bila kufuuata sheria na kweli ilikua ni kosa, sasa wale tulioingia nao mikataba walipokuwa wanakamata ndege zetu tuliaminishwa ni hujuma za MABEBERU lkn in real sense sisi ndo tulizingua

Hvo hvo hata serikali nyingi za kiarabu zinaitumia marekani kujitetea tu lkn walikua wanazingua mfano Iran(Persian), Iraq, Syria, Libya na Myanmar
 
SAWA MIMI KILAZA,,,,ILA WEWE NI MNAFIKI WA HISTORIA NA UNA CHUKI ZA KIDINI...
JE MIAKA 3000 YA WAYAHUDI KUTOLEWA KATIKA ARDHI ZA MABABU ZAO NA WAAJEMI NA WARUMI NA WAARABU NA WATURUKI HUYO KATIBU MKUU KAZUNGUMZIA????
Wewe unaielewa vizuri historia.

Hizi propaganda za kisiasa zinatia sana watu upofu wa historia.

Kila anayesimulia mambo ya vita vya Gaza na historia ya wayahudi, huwa anaanzia kati kati ya miaka ya hivi karibuni.

Nimemsikiliza msomi Tundu Lisu juzi nikashangaa sana alivyokuwa akieleza historia hiyo, naye akijikita katika propaganda hizo hizo.

Kila msimuliaji wa historia hasa ya Wayahudi, lazima aipotoshe, sielewi ni kwa manufaa ya nani.

Inaonekana kama vile Wayahudi waliokotwa maeneo mbali mbali duniani na kuja kupachikwa Israel na kuanzisha taifa lao bila ya kuwa na asili ya eneo hilo.

Ndiyo propaganda hizo za uongo zinavyopikwa kuonesha kuwa, wayahudi waliokotezwa maeneo mbali mbali ya Ulaya na kuja kupachikwa eneo walipo leo bila ya kuwa na uasili wa eneo hilo, very pathetic!
 
Unajua tatizo la waarabu na waislam ni unafiki wa kihistoria hasa kuhusu wayahudi....
Ila wasomi hatudanganywi......na hoja za kijinga eti himaya ya Israel inaanzia 1949!!
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?

TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Iliwahi kutumwa hii video kwenye group moja la watsapp, mie niliangalia kdg tu na nikaifuta hapohapo....

Alietuma Aliweka na maelezo kuwa hao ni waislam wa wapi sijui nimesahau wanawaua ambao sio waislam.

Lakini kuna mwengie akaitolea maelezo kuwa hio clip ni Uturuki, hao wanouliwa ni engineers waliojenga maghorofa ambayo hayakuwa na umadhubuti matokeo yake yalianguka na kuuwa watu, sasa sijajua kama ni katika lile tukio la tetemeko la Turkey na Syria na sijajua pia ukweli ni upi. Naona ukatili tu
Mungu Atujaalie Rehma zake ndio la kuomba.
 
Kuna kitu inaitwa Nanjing massacre Holocaust ikasome.

Kitu wachina walifanywa na wajapan mpaka leo wanachuki isiyo isha dhidi ya wajapan.

Sijui hiyo ni sababu mojawapo ama Kuna kingine ila nilikua na Mjapani mmoja, Bora umdananishe na mwafrika kuliko kumfananisha na Mchina aliwachukia sana.

Sasa hivi nna mchina, yeye ukitaka habari za Japan, ananyamaza ila unaona Hali yake inabadilika na hapendi kabisa aendelee na hayo mazungumzo.

Ntaifuatilia na kuisoma hiyo kitu, shukrani sana kiongozi.
 
Sababu kuu ni hiyo Nanjing massacre ikifutiwa na utawala wa Japan nchini China.

Katika kipindi kifupi tu Japan alichoingia China alifanya mauaji ya kutisha yasiyo na mfano.

Kama hiyo Nanjing massacre wachina waliuliwa vibaya wengi sana na wengine kuzikwa wazima wazima ubaya ni kwamba Japan haijawahi jutia makosa yake na kukiri na kuomba msamaha kwa wachina.

Hata wakorea nao wanawachukia wajapan na sababu ni utawala wa Japan ulicho watendea.

Ukatili wa Japan ule wa mjerumani ulikuwa wa kitoto sana.

So wachina wanachuki na Japan ya kurithishana. Katika kosa Japan hapaswi kufanya ni kuja kushiriki vita au mgogoro wowote China ambao atakuwepo hawa watu wana kisasi na Japan kisicho kwisha na mara kadhaa huwa wanasema na kuonesha.

Uje umuulize huyo mchina kwa nini haipendi Japan na kwa nini wachina wengi wana ichukia japan.

Mfano mwepesi fuatilia reaction ya wachina kwenye kifo cha Shinzo Abe
 
Sijui hiyo ni sababu mojawapo ama Kuna kingine ila nilikua na Mjapani mmoja, Bora umdananishe na mwafrika kuliko kumfananisha na Mchina aliwachukia sana.

Sasa hivi nna mchina, yeye ukitaka habari za Japan, ananyamaza ila unaona Hali yake inabadilika na hapendi kabisa aendelee na hayo mazungumzo.

Ntaifuatilia na kuisoma hiyo kitu, shukrani sana kiongozi.
Moja ya kitu wachina na watoto wao walijiapiza ni kutokuja kuwa weak tena.

Wao wananacho amini wao kuwa weak kulipelekea kufanyiwa unyama na watu wa nje na ndio maana mpaka leo hawa mabwana wana uchungu wa kuwa strong ili wasiteswe tena.
 
Na kingine, Kuna mchina mmoja nilisafiri nae nikamuuliza Siri ya wao kuwa aggressive namna ile, akanijibu we are too many , pili we don't believe in God, your wealthy gives you power and status. Kwahiyo hapo kwenye kutoka dhaifu wameenda mbali na kama ulivyosema wanaanzia kupandikiza hiyo kitu Kwa watoto wao.
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?

TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
Hawa ni "Hamas Monsters".
Lakini usikate tamaa kuhusu binadamu.
Usikate tamaa binadamu wanapofanya haya mambo ya kipuuzi.
Lazima uamini kwamba binadamu wanarekebishika.
 
Vitu vya kawaida uwanja wa Vita, tusiende mbali interahamwe wa CCM, unajua walimuua vipi kijana mawazo?walimtoa ndani kwake, wakamkimbiza wakamkata mapanga ya kichwa!
 
Alau Wasyria wanaweza wakapumua sasa baada ya dikteta mwuaji kufurumushwa.
Jidanganye, hakuna amani itakayopatikana Syria labda mafuta yaishe. Sehemu aliyopo USA hakuna amani inayopatikana. Ni kama DRC siku madini yakiisha basi amani itapatikana
 
Yoote haya Chanzo chake ni Siasa, Madaraka, uongozi, fedha na Starehe.

Mnasema kweli Mungu yupo?

Mimi ni Mkristo lakini inabidi nianza kufikiria Upya hii Doctrine ya Uungu wake.

Matukio yanayoendelea Duniani na watu wanaojifanya wana Dini ni Ushahidi Kabisa kuwa Duniani hakuna Uwepo wala Udhibiti q Nguvu za Mungu.

Ama Mungu ametutupa Mkono kutokana na Dhambi zetu au Mungu anayedhaniwa Yupo basi ni Bosheni tu.

Sio Kufuru lakini najaribu Kutaka kuona Nguvu za Mungu.

Na Mungu aliyehai Aonekane.

Ifike Mahali Mungu tumwambie Ukweli kama Yeye ni Yehova basi tunamtaka aonekane kwa watu wake.

Huo Ukatiri hata Shetani hawezi fanya hadharani.
Akili yako ikija kujua ubaya wa shetani na uchaguzi wa watu ndio itaelewa vzr juu ya Mungu, kwa sasa bado sana
 
Back
Top Bottom