Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Kwa hio unawatetea waarabu?Mbona Wahutu chini ya Vikosi vya INTERAHAMWE walifanya zaidi ya hayo unyama hauna mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio unawatetea waarabu?Mbona Wahutu chini ya Vikosi vya INTERAHAMWE walifanya zaidi ya hayo unyama hauna mwenyewe.
Nadhani ni tukio la kutengeneza ikiwa propaganda dhidi ya wapalestina au waarabu kwa jumla. Vinginevyo ni sehemu ya kuigiza kwenye cinema.Sitaki kuamini kuwa hilo ni tukio halisi! Labda ni video ya kutengenezwa.
Naomba iwe hivyo.Nadhani ni tukio la kutengeneza ikiwa propaganda dhidi ya wapalestina au waarabu kwa jumla. Vinginevyo ni sehemu ya kuigiza kwenye cinema.
Hili kitakua taifa teule IsraelSijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Taarifa zinasema kijana wenu wa kitanzania kauwawa na jeshi la IsraelHao ni hao hao tu Kama Hamas,
Wale waliompiga risasi kijana wetu,walipomaliza wakabaki wana jikuna kuna tu mik**du yao washasahau km wako vitani.
Yaani niliombea wangetokea pale IDF wawamwage kinyesi pale pale.
Bahati mbaya walikua mbali.
Wengine wao kuuwa mtu ni kama kuuwa mbu tu, iwe sinema, iwe kweli yote hayavumiliki kutazama kama hauna roho ngumu, na vipi lile tukio la kifo cha Mollel mbele ya hamas ni ya kutengeneza au?Nadhani ni tukio la kutengeneza ikiwa propaganda dhidi ya wapalestina au waarabu kwa jumla. Vinginevyo ni sehemu ya kuigiza kwenye cinema.
Inawezekana kwa sababu sikumbuki kama nilishawahi kuiona.Hiyo ni ya wayback 2013. Na ipo humu kwenye uzi fulani. Itakuwa ulidownload pasipo kujua.
Naomba unisamehe🙏Najuta kuangalia hii video. Mleta uzi kwani usingeipost ungepungukiwa nini?
Dunia nzima mauaji kama haya hufanyika sio Waarabu tu wanaofanya.Kwa hio unawatetea waarabu?
hapo ni arabuni,nadhani ni IRAG 9hii nilishawai kuiona} hao wanaouwawa ni wakristoSijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Tena siyo la kawaida.Balaa
KabisaKuna watu wamevurugwa aisee
Ukiingia huko utaharibika akili.. huruma zote zinakuishaWatu wanayaweza! Nilivyo na huruma hata mtu akinipiga kumrudishia siwezi😰