Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hao ni hao hao tu Kama Hamas,
Wale waliompiga risasi kijana wetu,walipomaliza wakabaki wana jikuna kuna tu mik**du yao washasahau km wako vitani.
Yaani niliombea wangetokea pale IDF wawamwage kinyesi pale pale.
Bahati mbaya walikua mbali.
Taarifa zinasema kijana wenu wa kitanzania kauwawa na jeshi la Israel
 
Nadhani ni tukio la kutengeneza ikiwa propaganda dhidi ya wapalestina au waarabu kwa jumla. Vinginevyo ni sehemu ya kuigiza kwenye cinema.
Wengine wao kuuwa mtu ni kama kuuwa mbu tu, iwe sinema, iwe kweli yote hayavumiliki kutazama kama hauna roho ngumu, na vipi lile tukio la kifo cha Mollel mbele ya hamas ni ya kutengeneza au?
 
Najuta kuangalia hii video. Mleta uzi kwani usingeipost ungepungukiwa nini?
Naomba unisamehe🙏

Hata Mimi imenisikitisha. Nilitaka nijue ukatili wa "hayo makatili" nisije nikawatuhumu Hamas kumbe siyo wao. Na sasa nimeshajua kuwa si Hamas.
 
Dunia sio mahala salama tena, kuna maeneo ukijichanganya ukaingia basi utakutana na ukatili usioweza hata kuelezeka, mfn..ukutane na Hamas
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
hapo ni arabuni,nadhani ni IRAG 9hii nilishawai kuiona} hao wanaouwawa ni wakristo
 
Watu wanayaweza! Nilivyo na huruma hata mtu akinipiga kumrudishia siwezi😰
 
Back
Top Bottom