Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?


Your browser is not able to display this video.

 
Samahani sana mkuu, naomba kuuliza

Hv ww una akili timamu au ni mwendawazimu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…