Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Screenshot_20231206-213041_X.jpg
 
Hapo wanajilipa posho maana hata waliofiwa wamepewa milioni moja tu, hakuna raia atalipwa na hii serikali labda utokee muujiza.
Basi posho zao ni nyingi kuliko msaada wanaoutoa

Na ni lazima kuna mabalozi wa nje wametoa misaada kibao ila serikali inauchuna kimya kama kawaida yao
Halafu utasikia wamepeleka mifuko 1000 ya cement na chakula
Ila tuemewazoea sana na tunajipa faraja tu kuwa wanasaidia
 
Kuna sehemu kwenye mwili wa mwanadamu kunakuaga na kitu km hicho (tope zito) alafu kuna wapuuzi wanalamba wanafyonza alafu wanameza, usiniulize nini yaan ni hivyo watu wanalamba hata visivyotakiwa kulambwa
 
Kuna watu wana matatizo ya akili. Sasa hapo kosa liko wapi? Demage ya gari ni ndogo kuliko uwepo wa hilo gari hapo. Tutumie bongo zetu vizuri
Wewe mpuuzi haujawahi kumiliki gari, hufahamu gharama kubwa sana iliyoongezeka hapo kwenye matengenezo.
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?


View attachment 2834898
Wamainasua. nadhani wanstahili pongezi
 
Back
Top Bottom