Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Nadhani zoezi walilokuwa wakifanya ni kusafisha njia ya maji endapo kutatokea mvua nyingine tena, maji yaweze kupita kwenye mtaro...

Otherwise kulikuwa na namna nyingine ya kuliondoa hilo gari kwa uangalifu ikiwepo kuondoa tope lililojazana kulizunguka gari...
 
Justification kwamba askari huwa hawana akili, walishindwa nini kuivuta kwa nyuma kwa kufunga chain kwenye chasis yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…