Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Haaa haaa ngoja niingie nivunjike mbavu...
Wale watu wana mitusi jamani chaaa!
 
Hr 666

Id zake kama..
Yeezus
Yeeezus2
Yeezy 666
Zote hizo zipo ban now anatumia...
Masonic666
Hahahaaaaa umesahau jorda pol...hyo masonic ndo naiskia[emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Haaa haaaaa....idiot, takataka kabisa

Asee yule jamaa, inaonekana ana dharau sana
Hahaaaa ni shida me ata akin quote nanyamaza..ukishamjua mbwa hakupi shida...ngoja aje apa tutukanwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…