Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Kipindi kile anatumia Id ya chief eng ndio alikua anachekesha kweli. Ula mm the best kwangu napenda wawe wanatukana muda wote ni GuDume, connor, Thr List, Alonso14, Padri mcharo mcharuko.


Hua alonso14 na mcharo wanatukanana kule kwenye uzi wa Barcelona maana wote ne fans wa barca..
Utacheka ufe
Haaa haaa ngoja niingie nivunjike mbavu...
Wale watu wana mitusi jamani chaaa!
 
Hr 666

Id zake kama..
Yeezus
Yeeezus2
Yeezy 666
Zote hizo zipo ban now anatumia...
Masonic666
Hahahaaaaa umesahau jorda pol...hyo masonic ndo naiskia[emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Haaa haaaaa....idiot, takataka kabisa

Asee yule jamaa, inaonekana ana dharau sana
Hahaaaa ni shida me ata akin quote nanyamaza..ukishamjua mbwa hakupi shida...ngoja aje apa tutukanwe
 
Back
Top Bottom