BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Cc: LamomyBICHWA KOMWE mtambo bab kubwa kwenye majibu yake anavyoshusha maneno dhidi ya wadau humu JF lazima ucheke hadi uzimie la sivyo uumwe tumbo kabisa [emoji119][emoji16]
Job true trueKazi kwelikweli
ππKijana mm harmonize kanichekesha sana anasema "Kuna kipindi mahusiano yalinichanganya sana nkampigia mama Samia.."
Umeniwahi shemeji, nilikuwa nimtaje huyo jamaa. π
Kuna muda kama anakuwa dakika 10 mbele shemeji πUmeniwahi shemeji, nilikuwa nimtaje huyo jamaa. π
Avatar yake huwa inanifanya nacheka kama boya fulani πππUmeniwahi shemeji, nilikuwa nimtaje huyo jamaa. π
π umesahau aliwahi sifiwa na mkifua wakeππKijana mm harmonize kanichekesha sana anasema "Kuna kipindi mahusiano yalinichanganya sana nkampigia mama Samia.."
Katia avatar ya Ringo MakinitoshiMimi ambaye huwa ananichekesha kuanzia avatar mpaka post zake ni Mpaji Mungu πππ
Dada nakusalimiaUmeniwahi shemeji, nilikuwa nimtaje huyo jamaa. π
πππNafanana na huyo jamaa kwenye avatar yanguMimi ambaye huwa ananichekesha kuanzia avatar mpaka post zake ni Mpaji Mungu πππ
Sema siku wadada wakiweka kigezo Cha kupendwa iwe kifua wallahi nimeisha mimiπ umesahau aliwahi sifiwa na mkifua wake
Avatar yake huwa inanifanya nacheka kama boya fulani πππ
Dada nakusalimia
Kuna muda kama anakuwa dakika 10 mbele shemeji π
Kesho tuwahi ibada ya kwanza...nakupa code ya kunijua mapema, pastor akisema warumi 6:23 aliepata atusomee yule wa kwanza kupata na kuwasomea ndo mimi...hii ni seriousNimepokea nimepokea! ππ