Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Avatar yake huwa inanifanya nacheka kama boya fulani πππ
Avatar Huwa nakumbukaga movie ya utani na tini white πππππNafanana na huyo jamaa kwenye avatar yangu
Siku hz sioni wakitoa hzo movie sijui washaachaAvatar Huwa nakumbukaga movie ya utani na tini white ππ
Ahsante shem, jumatatu njema.Bila shaka Shemeji, heri ya siku ya Jumapili.
Kwani ana kasoro gani? Au ule umodoKama yule comedian Leonard ana demu na mm siwezi kosa
Naonaga kwenye mabasiSiku hz sioni wakitoa hzo movie sijui washaacha
Wanatoa wapo huku dstv kwa kitimtimSiku hz sioni wakitoa hzo movie sijui washaacha
Nshakwambia ukiwa na safari niambie mapema niwe nakupeleka we Kila siku kukimbilia kimbinyikoNaonaga kwenye mabasi
Kimbau mbauKwani ana kasoro gani? Au ule umodo
ππππ nipeleke bas likizo hii nipumzike kuwaona kina tini white ππNshakwambia ukiwa na safari niambie mapema niwe nakupeleka we Kila siku kukimbilia kimbinyiko
Ni robot la likes hilo πππItabidi na raraa reree nae afunguliwe uzi jamani sio kwa likes hizii
Wengine tunataman mwili uleKimbau mbau
[emoji23][emoji23]Halafu kuna akina sisi hapa, yaani mtu nina stori nzuri tu, ila jinsi ya kuiwasilisha inakuwa kituko siyo stori tenaβ
Bas blaza we utakua bonge, mm na leonard tofauti rangi na mishe tuWengine tunataman mwili ule
Ngoja Mad Max atoe mwongozo wa pakwenda kupumzikaππππ nipeleke bas likizo hii nipumzike kuwaona kina tini white ππ