Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani.
Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako. Anamuita mchezaji atoke. Halafu anamwita mwingine aliyeko jukwaani. Hata kwenye benchi hayupo anamwingiza. Unashangaa.😳
Unaendelea kupiga jalamba na kuimba nyimbo za sifa na mapambio. Unapaswa kujua team ina wenyewe. Lucas mwashambwa