Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Upigwe ban Kwa sababu umewataja?Tukianza kuwataja humu kha
Tutasababisha ban kwa watu fulaniπ
Chumbani bado sijaamka naangalia uwezekano wa kukupatia mdogo wako maana ... Anasema anataka nimpatie mimba nyingine... πPole aise,
Shabiki ndio anaumia zaidi,
Uko wap kamanda.....
kumbe ndio maana una mawazo mgandamizo,Chumbani bado sijaamka naangalia uwezekano wa kukupatia mdogo wako maana ... Anasema anataka nimpatie mimba nyingine... π
Jitu zima pengine linafamilia liache kufanya mambo yake ya msingi lijikite kusifia muda wote halafu iwe kujitolea tu?Je kama ni kazi yake au anajitolea?
Mbona povu,Unajuaje kwamba kusifia ndio kazi yake? Wewe inakuuma wapi? Uliombwa ugali wa Watoto? ππππJitu zima pengine linafamilia liache kufanya mambo yake ya msingi lijikite kusifia muda wote halafu iwe kujitolea tu?
Bora umejkuja.Upigwe ban Kwa sababu umewataja?
Sasa usiseme hiyo mijitu inasifia kwa kujitolea tu labda useme huko kusifia ndio kunawapa ugali hapo sawa nitakuelewa lakini sio et jitu zima lina familia liache mambo yake ya msingi na kushinda mitandaoni kusifia tu muda wote.Mbona povu,Unajuaje kwamba kusifia ndio kazi yake? Wewe inakuuma wapi? Uliombwa ugali wa Watoto? ππππ
Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani.
Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako. Anamuita mchezaji atoke. Halafu anamwita mwingine aliyeko jukwaani. Hata kwenye benchi hayupo anamwingiza. Unashangaa.π³
Unaendelea kupiga jalamba na kuimba nyimbo za sifa na mapambio. Unapaswa kujua team ina wenyewe. Lucas mwashambwa
Hayo yoote yanatokana na kuteuliwa kwa DAB huku LUCAS MWASHAMBWA pamoja na kuwa mpasha misuli joto muda woooote kuachwa?Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani.
Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako. Anamuita mchezaji atoke. Halafu anamwita mwingine aliyeko jukwaani. Hata kwenye benchi hayupo anamwingiza. Unashangaa.π³
Unaendelea kupiga jalamba na kuimba nyimbo za sifa na mapambio. Unapaswa kujua team ina wenyewe. Lucas mwashambwa
Ha ha haHayo yoote yanatokana na kuteuliwa kwa DAB huku LUCAS MWASHAMBWA pamoja na kuwa mpasha misuli joto muda woooote kuachwa?
Muache aendeleze kipaji cha Pascal viziri mkuu maana naona ktk kupasha misuli joto muda wooote ni mrithi wake sahihi kabisa.