Hawa wanatakiwa kuachia nafasi zao kwa tatizo la Maji

Hawa wanatakiwa kuachia nafasi zao kwa tatizo la Maji

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk..

images.jpg


Kabla hatujaenda kwenye solution.

Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao
1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA).

2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA).

3. Aweso (waziri wa maji).

Solution.
 
'kuachia nafasi zao' hii ina apply UK tu

Afrika sahau
 
Rais Samia na yeye achukue japo kitu chake kimoja tu. Daraja Wami, Busisi, Nyerere power, Stendi zote, meli, SGR, Morogoro Road, Interchange zote ni JPM kazi ya awamu ya 6 ni kuandaa sherehe kufungua miradi ya JPM.

Ebu SAMIA kama una uwezo, watue wanawake wenzio ndoo kichwani. Chukua MAJI tu.
 
Back
Top Bottom