Hawa wanaume hatujawajulia tu

Ebana ndiooooooo!
 
Ujengewe MNARA pale Kijazi interchange
 
Mkuu sinywi pombe, sivuti Bangi ,Sina starehe yoyote ya kuupotezea muda


Nina Maisha yangu, Sina stress . Kwann nisipende Ngono??

Kuna kipindi ndo nmeanza kazi, nilikua nazipiga K hata nne mpaka Tano Kwa siku .
Hivyo wenzio tulifanya tukiwa sekondari na vyuo. Nilikuwa nafanya hivyo nikiwa Tanga na pale SUA Morogoro. Namshukuru Mungu nilipata pesa nikiwa na umri mdogo. Vina umri na maandishi yako yanaeleza umri na tabia zako. Kimsingi, hayo ya kufanya hivyo huwezi fanya ukiwa na akili timamu na roho ya kibinadamu. Nimepita huko mkuu, tena wewe hukunikuta wala nifikia ila Roho ya Ukahaba ndio ilikuwa inanitesa na ndio inakutesa na ndio maana unaona Raha na kujisifia kuhusu ngono.

Sasa huwa natafakari mwenyewe kuwa bila Mungu kuingilia kati maisha yangu, ningekuwa nimeshakufa toka 2009 au sasa ningekuwa natumia ARV. Nakushauri bro, kwa moyo wa unyenyekevu tafakari njia zako, muombe Mungu akutoe huko, oa na jenga familia. Kimsingi maisha haya yatakuwa na thamani na baraka kwako ukiwa na familia. Hiyo ndio furaha ila hayo mengine ni kujilisha upepo tu.
 
Kuna jokes the kuna comment za kisenge kama hizi nahisi una jeuri ya kukoment chchte kwasabu upo nyuma ya keyboard.... naomba kusema tutaniane lkini usivuke mipaka hadi kusema na kaa kwa shemeji .... tuishie hapo
SMS imefika. Kwa mtu mwenye majukumu asingeandika ujinga ulioandika. Maandishi yanaongea. Yanasema kuhusu umri, tabia na majukumu yako. Reaction yako imenifundisha mengi. Kiumri, inaonekana ndio una balehe sasa, majukumu huna na ni kweli either unaishi kwa wazazi or upo kwa shemeji yako na huna majukumu umekaa hapo na umevaa mlegezo katika suruali ya jinsi iliyokubana na imechanika Chanika magotini na kuandikwa konde boy huku umevaa tshirt ya WCB. Nyie wa namna hii ndio hucomment upuuzi.
 
Maandishi na hekima ya Kiutu uzima. Kimsingi JF ya sasa wengi ni vijana wanao balehe ndio maana kila mada lazima comments za papuchi, tigo, nguvu za kiume, kibamia, ushoga, kufirana n.k ziwepo. Unaweza andika mada ya mpira ila lazima itokee comments za wadau zenye maneno na viashiria vya zinaa na ushoga Tumekuwa na kizazi kinachowaza zinaa na kuamini zinaa ndio kila kitu.

Umeongeza neno kubwa na zuri na hata mimi nimemshauri hapo juu, familia/ndoa haijengwi na ngono kwani suala la ndoa sio la kimwili. Suala la ndoa ni la kiroho na ndio maana kuna "soul ties na soul mates" hilo linaanzia Rohoni then linakuja mwilini. Ndoa hailindwi wala kujengwa kwa kutegemea tendo ila linajengwa katika msingi mzuri wa Neno la Mungu na Maombi japo tendo ni muhimu na haki kwa wanandoa maana ni agano lenye baraka toka kwa Mungu.

Kwangu nina mifugo, naona wanavyopandana. Ninatafakarigi sana kuona wanadamu wanavyoikuza ngono ilhali hata ng'ombe wanafanya tena wanafanya wakiwa na lengo la kupata mtoto. Ila dhambi ndio imetufanya sisi wanadamu kuikuza na kuifanya zinaa kama ibada.
 
We dingi unaniharibia post,kwann usiende hubiri uraian huko😳 kama kweli umesimama jukwaa la mapenz umeingia kufanya Nini eti....wenzio watakatifu wakiona hata neno mapenz wanatupa na simu na kukimbilia biblia.Unasema ulifanya sana,sasa kwann usituache tufanye sana pia.Mi nazungumzia watu wakioana wasinyimane wewe nawe umekazana wasipende ngono🙄 anhaa,hapana jamani kama wewe umeridhika kutopewa ndani bas wengine kilichotupeleka ndo mapenz mkuu,kutafuta maendeleo waweza tafuta hata ukiwa pekeyako lakini penz siwez kujipiga miti Ivo ni lazima niwe na mwenza.Embu usituletee injili humu huku suruali yako imedisa,unamdhihaki aliyekuokoa mazee
 
Hahaaaaa nimecheka sana hapo kwenye suruali. Mabinti katakuwa na laana haka sio kuandika hivyo. Infact umri wako ni sawa na binti yangu Gift. Haya bwana ngoja niwaache muendelee kuelimishana kuhusu ngono nisiwakwaze
 
🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰,Utakatifu kwenye sex ni Nini 🙄wakati kuliwa ni kuliwa tu.Umenena mom ake🥰
 
Me ukinifanyia hivyo naanza kuboeka, Kila mtu ana formula zake me nikipata mwanamke mwenye sauti buana alafu mpoleeee yule ambae kabla sijamalizika kukasirika ye kashashuka, huyo hakika nitampenda hadi ashangae.
Kikubwa afanye utakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…