Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
- Thread starter
- #261
Mwanaume kucheat haipingiki,mi nazungumzia kupeana penz ndoani ratiba tuziache tupeane penz pale nafasi inapopatikanaMwanaume hata uweke lidudu lake puani nyeigee zikiisha mkitoka kwake au guest au hata kwenye misutu huwa anasahau anaangalia mwingine.
Kweli hawa nikutafuta mnae elewana naye mpange muoane umpe maujuzi ya wastani usijichoshe hata jatafute hela watoto wanakuja watakula nini mkiendekeza mapenzi hadi kwenye silling board wewee huu muda hamnaga nikipindi kile cha hawa na adam sai nikutafuta hela .