Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nachungika, nichunge basi...Hata Ivo mwanaume hachungiki
Thanks for appreciation, have a great weekend loveI appreciate you sana
AmenStay blessed much
Uzuri mwenyewe navipendaga hivyo vimichezo,, sometimes navianzisha, Kuna siku alikuwa na kikao Cha familia, nikawa km nanawa kiganja kikalowa vizuri nikafika nikampangusia mkononi,, alihaha chap na haraka palitafutwa pa kupunguzia mambo,, huu ujinga ujinga ndo unaofanya mapenzi yastawi walau mnasogeza mbele siku za kufurahia mahusiano,,Hayo ndo mapenz sasa, mapenz ni uchiz🤣🤣😜
Yeah, km hujaona dalili za kusalitiwa wala makandokando mengine toa mzigo bila mashartiHata Ivo mwanaume hachungiki
Kuwa serious mapenzini utafikiri upo kwenye parade hainogi🙄Uzuri mwenyewe navipendaga hivyo vimichezo,, sometimes navianzisha, Kuna siku alikuwa na kikao Cha familia, nikawa km nanawa kiganja kikalowa vizuri nikafika nikampangusia mkononi,, alihaha chap na haraka palitafutwa pa kupunguzia mambo,, huu ujinga ujinga ndo unaofanya mapenzi yastawi walau mnasogeza mbele siku za kufurahia mahusiano,,
Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...😳mpe kile Cha chap Kwa haraka 😉 egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu🤣 (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede🙄)
U serious haufai katika mapenzi,,Kuwa serious mapenzini utafikiri upo kwenye parade hainogi🙄
Asante mkuuto yeye umeupiga mwingi huko kote kasoro kipande hiki tu.
Ila kwa kufanya hivi mfanyaji atakutana na kitu ambayo wachumi wameeleza kwenye ‘Law of diminishing marginal utility’ na baada ya kufanya hivyo wiki 3 baadae mfanyaji atahukumiwa na ‘Law of Diminishing return’
NB: Hii mbinu ni nzuri sana na ni ‘very effective in a short run’.
Ndg yako huyo😅Kho kho kho
"wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamika"Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...[emoji15]mpe kile Cha chap Kwa haraka [emoji6] egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu[emoji1787] (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede[emoji849])
Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao[emoji119]
Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu[emoji3525]... maskini [emoji3064]ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....
Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio...
Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na[emoji57] juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo![emoji849][emoji3525]. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia[emoji24] daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao[emoji24][emoji24][emoji24][emoji34][emoji57]
NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah![emoji2955]
😂😂😂😂😂😂Kufanyia popote naweza ila siyo public....ila ukweli kutoka moyoni mauno siyawezi naitengaga tu 🙄
Tanga ni kusini[emoji848]Sasa kama unataka mibinuko binu si ungeenda Tanga dogo??
Huku Kaskazini huo muda hatuna [emoji14][emoji14]
Hizo ni comment tuMtoa mada anazungumzia Wanaume ambao kuchepuka kwao ni asili kwa comment zao [emoji51]
Hahaha, noma sana! Mkishibana raha sana..Kwanini ipoteze uelekeo!! Ni vimichezo vidogo visivyohatarisha usalama sio kila siku kuchokozana ni hadi muwe kitandani
Vijimambo ni vingi siwezi vimaliza humu eti, Kuna siku safarini alinivulisha pichu na akawa anainusa njia nzima,,, nadhani utavuta picha nini kilitokea upenyo ulipopatikana,