Hawa wanaume hatujawajulia tu

Hayo ndo mapenz sasa, mapenz ni uchiz🀣🀣😜
Uzuri mwenyewe navipendaga hivyo vimichezo,, sometimes navianzisha, Kuna siku alikuwa na kikao Cha familia, nikawa km nanawa kiganja kikalowa vizuri nikafika nikampangusia mkononi,, alihaha chap na haraka palitafutwa pa kupunguzia mambo,, huu ujinga ujinga ndo unaofanya mapenzi yastawi walau mnasogeza mbele siku za kufurahia mahusiano,,
 
Kuwa serious mapenzini utafikiri upo kwenye parade hainogiπŸ™„
 

to yeye umeupiga mwingi huko kote kasoro kipande hiki tu.

Ila kwa kufanya hivi mfanyaji atakutana na kitu ambayo wachumi wameeleza kwenye β€˜Law of diminishing marginal utility’ na baada ya kufanya hivyo wiki 3 baadae mfanyaji atahukumiwa na β€˜Law of Diminishing return’

NB: Hii uloisema mbinu ni nzuri sana na ni β€˜very effective in a short run’.
 
Asante mkuu
 
"wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamika"
Hapo ndo kwenye msingi wa bandiko lote, umeandika vema sana.
 
Kufanyia popote naweza ila siyo public....ila ukweli kutoka moyoni mauno siyawezi naitengaga tu πŸ™„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwamba anataka kufika bei,,
 
Hahaha, noma sana! Mkishibana raha sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…