Hawa wanaume hatujawajulia tu

Kuna mchepuko wangu ulikua na haya mambo jamani acheni tu [emoji39][emoji39][emoji39]nilikua nafanyiwa mambo mpaka naona duniani niko mm peke yangu nae kula rahaaaa ,,,kalipo kuja kujua nimeoa ndo hapo mahusiano yakafa maana nilikaahidi ndoa ..HUSNA POPOTE ULIPO KUNYWA MCHEMSHO BILL JUU YANGU[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Unajaribu kutatua tatizo ambalo halipo, au kama lipo basi ni kwa kiwango kidogo. Mwanamke ukishakuwa umewekwa ndani ya nyumba ya mwanaume mnalala kitanda kimoja nguvu ya kukataa mwanaume asikutafune saa yoyote unaitoa wapi?

Tatizo kubwa lililopo ni kupoteza ladha. Yaani wanaume tunapendaga kufunua mali mpya. Ya zamani sawa tutaitafuna lakini tukiona mpya mizuka inapanda zaidi ila na yenyewe tukishaitafuna inageuka inakuwa ya kawaida.

Sasa hilo sio tatizo kwetu wanaume, ila ni tatizo kwenu wanawake maana huwa hampendi wenzenu wengine ambao bado hatujawala tukiwatafuna.
 
Ndio maana Uislaam ukataka mwanaume awe na wanawake zaidi ya mmoja kwamba unapokaa kwa huyu siku 3 utamchoka ukiamia kwa mwingine unapata hamu ya uyo mwingine ukimchoka unaamia kwa mwingine live going on
 
Ndio maana Uislaam ukataka mwanaume awe na wanawake zaidi ya mmoja kwamba unapokaa kwa huyu siku 3 utamchoka ukiamia kwa mwingine unapata hamu ya uyo mwingine ukimchoka unaamia kwa mwingine live going on
Haina haja ya kutaja Uislam. Hilo ni jambo la asili ya uanaume sio mpaka uambiwe na Uislam.
 
Mapenzi hayana Formula. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…