Yamekua hayo tena 😁Umo sana unanichota tu😅
Uko poa mchuchu mzuri?Yamekua hayo tena 😁
Uko poa mchuchu mzuri?
Na mimi nina binti anaitwa Gift. Heshima kwakoHahaaaaa nimecheka sana hapo kwenye suruali. Mabinti katakuwa na laana haka sio kuandika hivyo. Infact umri wako ni sawa na binti yangu Gift. Haya bwana ngoja niwaache muendelee kuelimishana kuhusu ngono nisiwakwaze
Na kiswahili cha Kikenya! YewomiiiiiiiiKufanyia popote naweza ila siyo public....ila ukweli kutoka moyoni mauno siyawezi naitengaga tu 🙄
Samahani saana aseeMi ni wa kiume mkuu, m babu nakaribia kuumaliza mwendo.
Nilikuwa namaanisha wanaume tukishapewa yote, kama dem hayuko vizuri kichwani tuna move on,
Kupendana inawezekana ila tatizo vitu vingi kuingilia Kati upendo....matabaka kiuchumi na kimaumbile☹️Pendaneni!! nimependa sana aya ya mwisho,, wapo wengi waliokosa upendo wa kweli, tupo wengi sana tunao gugumia maumivu mioyoni,, ni wengi sana!! tujifunze kupendana
Wanaume ni watotoHapa ndo panatuangusha aisee
😂 basi Hongera sana kwa leo umeamkia pazuri mnoSometimes,siyo sikuzote mkuu ...sikuingine zinalog off😉