Hawa wanaume hatujawajulia tu

We ndo mshkaji wetu Sasa unajua Nini tunataka,

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Uzi umefungwa idd Mubarak
 
🥰ee bhana,maana hata tujikweze vp haibadiliki kuwa Nyie ni baba zetu
uko matured, kwa kifupi mimi nikupate jama wew sahau kukuacha!!! maana kila muda umenichosha, na siwezi tamani kwingine, wanaume wengi tamaa huja pale anapokuwa na sperm nyingi mwilin,
 
Hii kitu kila siku nasema kwenye ndoa yangu ila now nimekuwa tired nimeamua kumuacha tu maana wanawake wanahisi mapenzi ni usiku na mchana mapenzi ni popote pale hata chooni au polini au hata kwenye park usiku me naenjoy hivyo hata garage unainama faster unapigwa mtu mwanaume hawezi kutoka nje...
 
Kutoka hatuwazuii tunachozuia kuwapa sababu
 
Kutoka hatuwazuii tunachozuia kuwapa sababu
Kabisaa nakubaliana na wewe ndip ila vile vile sasa nitoke nje kwa sababu gani hasa??ila hizo sababu zenu saa zingine zinatuchosha sana wanaume maana kwanza sisi mnatujua tunapotala kula inabidi tule sio story kesho au nimechoka au sipo kwenye mood ofcoz kuna kuchoka ila saa zingine ni vizuri ku try ila ndugu yangu nimeupenda sana uzi wako naamini wanawake wengine watajifunza something hapa...
 
Na kama ni wa kwako na mnapendana hata kufanya hayo utaona ni jambo la kawaida sanaa na sio kujipendekeza
 
Tukikamuliwa vizuri hatutoki kwenda popote. Trust me MDA wote ntakua nakukumbuka tu Leo napewa chumban au toi au jikon au ...
 
Hapo kila kitu [emoji3514].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…