Hawa wanaume hatujawajulia tu

Naona hii trend inayoendelea bongo inashika kasi kila sehemu
Trend ya kuongea au kuandika vitu ambavyo jinsia nyingine wanadhaniwa kupendelea ili kujipatia umaarufu

Kwa wanaumewanaongelea vitu ambavyo vitawafanya waonekane ni magentle men kwa wanawake
Mf.mwanaume lazima utafute pesa,wanaume wapeni pesa wanawake

Wachungaji kuzungumzia zaidi mahusiano kuliko kupinga maovu,dhambi,upendo
Na hapa kwa wachungaji wengi wanawake utaona wakiwasema sana wanawake wenzao na kuonesha wao wanawafaham vizuri wanaume

Wanawake kuwasema wanawake wenzao ili kujipatia umaarufu kwa jinsia ya kiume mf..hii post na za dada fulani anatrend tik tok


NB: mf hii thread itapendwa na wanaume zaidi ya 90% na itachukiwa na wanawake zaidi ya 90%
 
Sawa,lakini kwani kuna shida yoyote?
Mbona dokta unamuomba auzungumzie mwili wako?
Mbona unayazungumzia mahitaji ya mbwa,kuku na hata paka wako?
Ni vizuri tujuane ili tupeane!
 
Wakumbushe pia wengine hatutaki maviuno yao kama feni mbovu.Unapelekewa amapiano kaa kwa kutulia maviuno ya nini sasa?!
Yanakujaga tu,ila kama anazungusha akuridhishe hayawezi kukufurahisha katu coz siyo natural
 
No one know tomorrow ukiwa una reasoning sana Kuna mambo utafanya alafu baadae utaanza kujilaumu, ukipata nafasi una enjoy mkiachana hayo ni matokeo
Kuachana kupo but good memories ni better than kubaki na bad memories
 
Upewe ulinzi kuanzia sasa, na sanamu lako Itajadaliwa lijengwe wapi!
 
Wewe mwanamke utaniua kwa ngono
 
Masikini ya Mungu. Baba na mama wanajua wana mtoto kumbe kanawaza ngono tu na thread zake ni za ngono tu. Anaamini kutoa ngono kwa mwanaume ndio silaha ya kutafuta na kuilinda ndoa yake. Hajui kuwa ndoa inalindwa na Mungu aliyeanzisha taasisi hii ya ndoa. Mungu akusaidie kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…